zawadi

IQNA

IQNA – Mpango mkubwa nchini Malaysia wa kusambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu kupitia mfumo wa waqf unakaribia kufikia lengo lake la mwisho kwa kasi kubwa.
Habari ID: 3481964    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/20

IQNA- Wakazi wa kijiji cha Tabloha, jimbo la Menoufia, wamem zawadi a gari kijana mwenye ulemavu wa machi Misri, Abdul Rahman Mahdi, baada ya kushinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yaliyoandaliwa na Wizara ya Awqaf ya Misri.
Habari ID: 3481697    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/22

KARBALA (IQNA) - Wale wanaohudumu katika moja ya Moukeb kubwa katika mji mtukufu wa Karbala waliwaaga mahujaji waliokuja kwa ajiri ya Ziyara ya Arbaeen kwa kuwapa zawadi ya nakala za Quran Tukufu.
Habari ID: 3477574    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/09

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wanasayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26

Shirika la Kimataifa la Habari za Qur'ani (IQNA) imepata zawadi ya shirika bora la habari za kidini katika Maonyesho ya 21 ya Habari na Mashirika ya Habari mjini Tehran.
Habari ID: 3449242    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14

Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
Habari ID: 3329125    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/19

Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Dubai yameanza Jumatano hii usiku katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3318398    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24