TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Bahrain wameandamana tena Ijumaa katika mji mkuu Manama na miji mingine kupunga hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473228 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03
TEHRAN (IQNA)- Chama kikuu cha upinzani cha Bahrain kinachojulikana kama Jumuiya ya Kiislamu ya Al Wifaq kimetangaza kuwa kumefanyika maandamano 150 ya kupinga hatua ya watawala wa nchi hiyo kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473198 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23
TEHRAN (IQNA) - Idadi kubwa ya wananchi waumini wa Iran wamefanya maandamano makubwa katika kuunga mkono mfumo wa Kiislamu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kusimama kidete katika kukabiliana na ya Marekani.
Habari ID: 3472380 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/17
TEHRAN (IQNA)-Maelfu ya watu, wengi wao wakiwa Waislamu, wameandamana katika mji wa Cologne magharibi mwa Ujerumani kupinga ugaidi unaotendwa kwa jina la Uislamu.
Habari ID: 3471023 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18
TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Wayemen wameandamana katika mji mkuu Sana'a na maeneo mengine nchini humo katika mwaka wa pili tokea Saudia ianzishe vita vya kinyama dhidi ya taifa hilo na zaidi ya 12,000 kupoteza maisha na mamilioni ya wengine wengi kupoteza makao.
Habari ID: 3470909 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/26
Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
Habari ID: 3470556 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10
Wafanyakazi wa Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd nchini Saudia Arabia wameitisha mgomo kulalamikia ucheleweshwaji mishahara yao.
Habari ID: 3470518 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12
Wairani leo wamefanya maandamano makubwa kote nchini kuadimisha mwaka wa 36 wa kutekwa ubalozi wa Marekani mjini Tehran mwaka 1979.
Habari ID: 3443714 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/04
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran mwaka huu yamekuwa makubwa na mapana zaidi kuliko miaka iliyopita.
Habari ID: 3326322 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Wabahrain wamefanya maandamano ya kulaani na kukosoa siasa hizo za ukandamizaji na utiwaji nguvuni wapinzani hasa Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Wifaq.
Habari ID: 3320158 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/27
Maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran Jumatatu wameandamana mbele ya Ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran kulaani hatua ya gazeti la Charlie Hebdo la Ufaransa ya kuchapishwa tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume wa Uislamu Muhammad (SAW).
Habari ID: 2736722 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/20