IQNA-Mamilioni ya watu wa Iran siku ya Jumatano wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
Habari ID: 3481803 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/15
IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani amesema kuwa Qur’ani Tukufu imetangaza wazi kuwa jukumu lake ni kuanzisha ustaarabu mpya, na adui analijua hilo.
Habari ID: 3481799 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/14
IQNA – Mamilioni ya wananchi nchini Iran waliandamana Jumatatu kulaani ghasia za hivi karibuni zilizochochewa na makundi ya kigaidi yanayodaiwa kuungwa mkono na Marekani na utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3481796 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/13
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amepongeza maandamano ya kitaifa yaliyoonyesha uungaji mkono kwa Jamhuri ya Kiislamu, akisema wingi wa wananchi waliojitokeza “umeandika historia” na kuvuruga njama za maadui waliolenga kuibua misukosuko kupitia vibaraka wao wa ndani.
Habari ID: 3481795 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/13
IQNA – Maelfu ya waandamanaji walijitokeza Ijumaa katika mji mkuu wa Morocco kupinga hatua ya nchi hiyo ya kuendeleza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3481788 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/11
IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa Yemen kufuatia kitendo cha kuvunjiwa heshima kwa Qur’ani Tukufu kilichofanywa na mgombea wa Seneti nchini Marekani.
Habari ID: 3481700 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/22
IQNA – Watawala wa Marekani wanaficha na kuziba hofu yao dhidi ya vuguvugu la wananchi nchini humo, amesema Mkuu wa Taasisi ya Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO).
Habari ID: 3481422 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/27
IQNA – Idadi kubwa ya watu wameshiriki katika maandamano katika nchi mbalimbali kuonyesha mshikamano na Gaza na kulaani hatua ya Israel kuuteka nyara Msafara wa Meli wa Global Sumud uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuelekea eneo hilo a Wapalestina.
Habari ID: 3481319 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/03
IQNA – Watu kutoka maeneo mbalimbali ya Yemen walifanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa kulaani uhalifu wa Israeli dhidi ya Wapalestina na kitendo cha hivi karibuni cha kuchomwa motot nakala ya Qur’an Tukufu nchini Marekani.
Habari ID: 3481160 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/30
IQNA – Maandamano ya kuunga mkono Palestina yalifanyika mjini Copenhagen, mji mkuu wa Denmark, ambapo waandamanaji zaidi ya 10,000 walitisha mwito wa kumaliza vita huko Gaza na kuhimiza Denmark kutambua taifa la Palestina.
Habari ID: 3481135 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/25
IQNA – Watu katika miji na miji midogo kote Australia walijitokeza kwa wingi Jumapili kuonyesha uungaji mkono wao wa dhati kwa Palestina na kulaani ukatili wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3481129 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/24
IQNA- Maandamano yafanyika Uingereza kulaani mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel dhidi ya Gaza Maandamano makubwa yamefanyika nje ya ubalozi wa utawala wa Israel mjini London, Uingereza kulaani mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3481127 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/24
IQNA – Maelfu ya Wamoroko walikusanyika Jumapili katika mji mkuu, Rabat, kuonyesha mshikamano wao na watu wa Palestina na kulaani uhalifu unaoendelea wa utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480541 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14
IQNA – Watu wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu Tunis na miji mingine siku ya Ijumaa, wakitaka kuwekwa sheria ya kuzuia uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3480531 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/12
Kadhia ya Palestina
IQNA-Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamejitokeza katika kona zote za nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kushiriki maandamano ya kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Gaza.
Habari ID: 3480221 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15
Waungaji mkono Palestina
IQNA - Maelfu ya wananchi wa Yemen waliingia barabarani mjini Saada kutangaza uungaji mkono wao kwa mataifa ya Palestina na Lebanon na kulaani vitendo vya uchokozi vya utawala wa Israel dhidi ya Syria.
Habari ID: 3479896 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
Watetezi wa Palestina
IQNA-Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano mapya ya kila wiki katika mji mkuu Sana'a na miji kadhaa nchini humo kusisitiza uungaji mkono wao kwa Wapalestina wanaokabiliwa na vita vya mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel.
Habari ID: 3479868 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07
Kadhia ya Palestina
IQNA - Chuo Kikuu cha Hashemite cha Jordan kimeshutumiwa kwa kuwakandamiza wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
Habari ID: 3479720 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Watetezi wa Palestina
IQNA - Watu katika mji mkuu wa Uingereza wa London walifanya maandamano siku ya Jumamosi, wakitaka kusitishwa kwa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza. Zaidi ya watu 30,000 walishiriki katika maandamano ya kupaza sauti ya mshikamano na wapalestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479619 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/20
Muqawama
IQNA - Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad siku ya Ijumaa kulaani jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479580 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12