Sheikh Manshawi

IQNA

Ifuatayo ni klipu ya sauti ya Mohammad Sadiq Manshawi, msomaji mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri akisema aya za 25 hadi 27 za Suuratut Tur.
Habari ID: 3477011    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/17