iqna

IQNA

Mashindano ya 41 ya Qur'ani Tukufu ya Iran
IQNA – Mtaalam wa Qur'ani wa Iran ametoa wito wa kuanzishwa kwa sekretarieti ya kudumu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran katika mji mtakatifu wa Mashhad. 
Habari ID: 3480227    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameangazia Qur'ani Tukufu kama muujiza wa milele, akibainisha kuwa kitabu hiki cha Mwenyezi Mungu  kinatoa suluhisho kwa matatizo yote ya wanadamu.
Habari ID: 3480148    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/02

IQNA - Washindi wakuu wa toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an ya Iran walitangazwa na kutunukiwa tuzo katika sherehe ya kufunga tukio hilo siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3480143    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/01

IQNA – Kusoma na kuhifadhi Qur’ani  Tukufu, pamoja na shughuli nyingine za Kiqur’ani,  huchochea hisia za ukaribu na Kitabu Kitakatifu moyoni mwa mtu, alisema Qari mmoja kutoka Lebanon.
Habari ID: 3480142    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/01

"Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu  nchini Iran yana mchango mkubwa katika kuimarisha uhusiano ndani ya ulimwengu wa Kiislamu zaidi ya mahusiano ya kisiasa," alisema Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, Sayyid Abbas Salehi.
Habari ID: 3480140    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/01

IQNA – Kushindwa kushikamana na mafundisho ya Qur’ani Tukufu  kumechangia mgawanyiko ndani ya ulimwengu wa Kiislamu," alisema Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, katika ujumbe wake kwa Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qu’rani  ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3480139    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/01

IQNA – Sherehe ya kufunga Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ilifanyika tarehe 31 Januari 2025 katika haram ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad.
Habari ID: 3480138    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/01

IQNA – Mobin Shah Ramzi, mtaalamu maarufu wa Qur'ani kutoka Afghanistan, alishiriki maarifa yake kuhusu elimu ya Qur'ani  na uzoefu wake kama jaji kwenye Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'an yaliyofanyika Mashhad, Iran.
Habari ID: 3480135    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31

IQNA - Kipindi cha 41 cha Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimekamilika kwa kutoa zawadi kwa washindi.
Habari ID: 3480133    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31

IQNA – Mjumbe wa jopo la majaji katika raundi ya mwisho ya uMashindano ya Kimataifa ya Qur’an ya 41 ya Iran alisisitiza kiwango cha juu cha washiriki katika kitengo cha kuhifadhi.
Habari ID: 3480132    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/31

IQNA - Mtaalamu wa Qur’ani  kutoka Kuwait amesema hakuna haja ya kuongeza makundi mapya katika sehemu ya wanawake ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3480130    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/30

IQNA - Mwakilishi wa Iraq katika kipengele cha usomaji wa Qurani Tukufu  kwenye Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qurani nchini Iran alisisitiza jukumu muhimu la mashindano ya Qur’ani katika kuwavutia vijana kujifunza Qurani Tukufu kuwa ni muhimu sana.
Habari ID: 3480128    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/30

IQNA – Qari  kutoka Misri alisifu kujitolea kwa Iran katika shughuli za Qur’ani, akisema kwamba Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya Iran yanafanyika kwa njia bora zaidi iwezekanavyo.
Habari ID: 3480120    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA - Qari wa Iran, Sheikh Al -Hassan Khanchi, mtahiniwa mashuhuri wa Qur'ani Tukufu nchini, katika saa za mwisho za siku ya pili ya mashindano ya washiriki wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ya 41, yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad, sambamba na siku ya Mi'raj ya Mtume Muhammad (S.A.W.), alitekeleza ibtihal ya kusifika kwa kumtukuza Mtume wa Mwisho, Muhammad (S.A.W.)
Habari ID: 3480119    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA – Wataalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran na nchi kadhaa wanahudumu katika jopo la majaji katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya 41 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yanayoendelea katika mji mtakatifu wa Mashhad kuanzia Januari 26 hadi 31.
Habari ID: 3480118    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya Iran:
IQNA – Kundi la kwanza la washiriki katika kitengo cha wanawake lilipanda jukwaani Jumamosi asubuhi kuonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur’ani Tukufu  katika hatua ya fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran.
Habari ID: 3480114    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA – Mwakilishi wa Iraq katika kitengo cha kuhifadhi Qur’ani Tukufu  kwenye Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya 41 ya Iran amesisitiza umuhimu wa kutekeleza mafundisho ya Kitabu Kitakatifu katika maisha ya kila siku.
Habari ID: 3480113    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani Tukufu  kutoka Misri alielezea mchakato wa kutoa maamuzi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani  ya Iran kuwa umeandaliwa vizuri na umepangwa kwa usahihi, jambo ambalo linasaidia washiriki kupata kile wanachostahili katika mashindano hayo.
Habari ID: 3480112    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29

IQNA - Qari wa Iran, Sheikh Al - Hadi Esfidani, msomaji wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu na mshindi wa kwanza wa mashindano ya 40 ya kimataifa ya Qur’ani nchini Iran, katika hafla ya ufunguzi wa mashindano ya 41 ya kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyofanyika usiku wa leo, 27 Januari, katika mji wa Mashhad katika Ukumbi wa Quds wa kaburi takatifu la Imam Ridha (AS), alisoma aya za 9 hadi 12 za Surah Al-Isra na aya za mwanzo za Surah Al-Alaq.
Habari ID: 3480110    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/27

IQNA – Hafla ilifanyika Jumapili jioni mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, kuzindua hatua ya fainali ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3480107    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/27