IQNA – Sherehe ya ufunguzi wa toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Iran ilifanyika tarehe 26 Januari 2025, mjini Mashhad katika Ukumbi wa Quds wa kaburi takatifu la Imam Ridha (AS).
Habari ID: 3480106 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/27
IQNA – Hatua ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza rasmi kwa sherehe katika Mashhad Jumapili jioni. Kulingana na Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha Shirika la Wakfu na Mambo ya Hisani ya Iran, sherehe hiyo itafanyika kesho kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa tatu katika Ukumbi wa Quds wa kaburi takatifu la Imam Reza (AS).
Habari ID: 3480099 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26
IQNA – Kuwasili kwa washiriki na wageni katika toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran kumekwishaanza. Kundi la kwanza la washiriki limekaribishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imam Khomeini Alhamisi, siku tatu kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano hayo.
Habari ID: 3480098 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26
Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qurani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yataanza 26 Januari 2025 katika ukumbi wa Quds wa Haram ya Imam Ridha (AS), mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3480091 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/22
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wakati wa raundi ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran, programu mbalimbali za Qur'ani zitafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad.
Habari ID: 3480088 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi wa nchi 27 watashindana katika hatua ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3480085 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu
IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea na maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480082 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litaingia katika hatua ya mwisho mwezi huu.
Habari ID: 3480049 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13