JESHI LA IRAQ

IQNA

IQNA – Huku mwezi wa Muharram katika kalenda ya Hijria ukiwa umeingia, vikosi vya jeshi la Iraq vimeongeza kiwango cha utayari na doria ili kuhakikisha usalama wa misafara na mijumuiko maombolezo.
Habari ID: 3482366   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16