Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei

IQNA

IQNA – Balozi wa Iran nchini Urusi (Russia), Kazem Jalali, alimkabidhi Askofu Mkuu wa Russia ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, wakati wa mkutano wao.
Habari ID: 3482569   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameisifu harakati ya Hizbullah kwa msimamo wake thabiti na usioyumba katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, kuwa uimara wa harakati hiyo ya Lebanon ni ujumbe wenye nguvu wa ukombozi kwa mataifa yaliyodhulumiwa duniani kote.
Habari ID: 3482542   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/27

IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, ameeleza shukrani zake za dhati kwa mahudhurio “ya kustaajabisha, yenye kuvunja nguvu za adui na ya kihistoria” katika mazishi ya Kiongozi Shahidi, akisisitiza kuwa malipo ya kisasi dhidi ya “watenda jinai wauaji waliodhalilika” ni jambo la yakini.
Habari ID: 3482472   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/11