TEHRAN (IQNA) – Katika hafla adhimu iliyofanyika katika Ukumbi wa Hekmat, ndani ya Maktaba ya Kitaifa na Nyaraka za Iran, mnamo tarehe 29 Julai 2026, ulimwengu ulishuhudia kuzinduliwa kwa Msahafu wa Zaferani.
Habari ID: 3482564 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01