Razan

IQNA

IQNA – Razan Muhammad Mutawali, msichana wa miaka mitano kutoka Guatemala, ameshiriki katika Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3482653   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/21