iqna

IQNA

maulamaa
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474612    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA) – Shirika la mtandao wa kijamii wa Facebook limeufunga ukurasa wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) baada ya jumuiya hiyo kutoa fatwa yake ya kuwataka Waislamu wasusie bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473531    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06

TEHRAN (IQNA)-Nchi za Kiislamu zilizo na uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel zimetakiwa zikate uhusiano huo mara moja kama njia ya kuunga mkono ukombozi wa Palestina hasa mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471375    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/29

TEHRAN (IQNA)-Maulamaa wapatao 300 wa Kiislamu wamekutana Istanbul Uturuki na kutangaza kuwa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni haramu.
Habari ID: 3471316    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/19

Vikosi vya usalama Saudia vimewatia mbaroni maulamaa wawili Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa katika mji mtakatiffu wa Makka.
Habari ID: 3470543    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02

Maulamaa Waislamu zaidi ya 1,000 nchini India wametoa Fatwa ya pamoja kulaani na kupinga kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na kusema harakati za kundi hilo ni dhidi ya mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3361079    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/10