Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna msikiti kaskazini-magharibi mwa Uchina ambao una nakala ya kale zaidi ya Qur'ani katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
Habari ID: 3475650 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20
Nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono karne saba zilizopita zimeanza kuonyesha katika Taasisi ya Smithsonian, mjini Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470626 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22
Madrassah ya kufundishia Qur’an yenye umri wa zaidi ya karne nchini Uganda, itazamiwa kukarabatiwa upya hivi karibuni ili kuendelea kutumika kwa ajili ya kutoa mafunzo sahihi ya dini ya Kiislamu.
Habari ID: 3353009 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/26
Nakala ambayo yumkini ikawa miongoni mwa nakala za zamani zaidi za kitabu kitakatifu cha Qur’ani Tukufu imegundulwia nchini Uingereza.
Habari ID: 3332252 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22