IQNA-Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Misri, inayojulikana kama Dar Al-Kutub, inahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa hati za Qur’ani za kale na za kihistoria, baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka elfu moja.
Habari ID: 3480647 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Nakala ya Qur’ani (Msahafu) kutoka enzi za Mamluk mwishoni mwa miaka ya 1470 Miladia ni miongoni mwa vitu vya sanaa vitakavyouzwa katika mnada wa Sotheby's jijini London leo.
Habari ID: 3480618 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30
IQNA – Éléonore Cellard ni mtafiti wa Kifaransa na mtaalamu wa hati za nakala za Qur’an za kale ..
Habari ID: 3480543 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/15
IQNA – Uchunguzi wa kina kuhusu hali ya hati za Kiarabu na Kiislamu zipatazo 40,000 katika maktaba tatu kubwa zaidi za umma nchini Ujerumani umefichua nukta za kuvutia kuhusu uhusiano wenye sura nyingi kati ya Ulaya, Mashariki ya Kati, na Afrika Kaskazini.
Habari ID: 3480537 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
Turathi
IQNA-Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz (KAPL) mjini Riyadh, Saudi Arabia, inahifadhi nakala 400 adimu za MIsahafu kutoka zama mbalimbali za Kiislamu ambapo nyingi ni za kati ya karne ya 10 hadi 13 Hijria.
Habari ID: 3480524 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Turathi
IQNA-Miswada au maandiko ya kale ni hazina muhimu ya urithi wa binadamu. Majumba ya makumbusho, vyuo vikuu na vituo vya utafiti ni sehemu ambazo zimejaa maelfu ya maandiko ambayo yanasaidia kuelewa historia, sayansi, lugha, na sanaa mbalimbali hasa katika ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3480523 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Turathi
IQNA-Katika kijiji kidogo cha Gelezerde, pembezoni mwa mji wa Sulaymaniyah, kaskazini mwa Iraq, kuna nakala ya Qur’ani Tukufu (Mus’haf) ambayo haiwezi kupuuzwa – sio tu kwa uzuri wake wa kale , bali kwa thamani yake ya kiroho, kihistoria na kitamaduni.
Habari ID: 3480506 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
IQNA – Raia mmoja wa Saudia ametumia miaka 40 kukusanya Misahafu adimu, akikusanya jumla ya nakala 214, kila moja ikiwa na historia yake ya kipekee.
Habari ID: 3480305 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04
Turathi
IQNA – Urekebishaji wa kurasa za nakala adimu ya Msahafu (Qur'ani) wa karne ya 10 Miladia umeanza huko Karbala, Iraq. Haya ni kwa mujibu wa Latif Abdulzahra, mkuu wa Idara ya Urekebishaji Nakala katika Kituo cha Kuhifadhi Nakala na Kumbukumbu katika kaburi au Haram ya Hazrat Abbas (AS).
Habari ID: 3480063 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/17
Qur'ani Tukufu
IQNA – Kitabu kinachoitwa "Kalam Mubin: Nyakara za Kale Zaidi za Misahafu (Nakala za Qur’ani); Nyaraka za Qur’ani za Maandishi ya Hijazi," kimezinduliwa katika hafla huko Tehran.
Habari ID: 3480027 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Nakala ya Qur'ani Tukufu (Msahafu) iliyoandikwa kwa mkono miaka 180 iliyopita imezawadiwa Maktaba Kuu ya Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3479183 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/25
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa zama za Uthmaniyya umeuzwa katika katika mnada wa turathi za Kiislamu jijini London, Uingereza.
Habari ID: 3478742 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/27
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa enzi za Uthmaniyya ni miongoni mwa bidhaa za sanaa za Kiislamu zitakazopigwa mnada Sotheby's London wiki hii.
Habari ID: 3478726 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24
Turathi
IQNA - Hujaji wa Nigeria na mwanafunzi amekabidhi nakala iliyoandikwa kwa mkono ya Qur'ani Tukufu katika hati ya Maghribi kwa Maktaba Kuu ya Haram ya Imam Ridha (AS).
Habari ID: 3478677 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13
Utamaduni
IQNA - Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz mjini Riyadh imezindua maonyesho yenye nakala 42 za Qur'ani 42 ambazo kila moja imeandikwa kwa kaligrafia ya Kiislamu na mapambo ya aina yake.
Habari ID: 3478529 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Jinai za Israel
IQNA - Zaidi ya maeneo 200 ya kiakiolojia na ya kale katika Ukanda wa Gaza yameharibiwa na uvamizi wa kijeshi wa Israel tangu Oktoba 7, kulingana na mamlaka huko Gaza.
Habari ID: 3478117 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Profesa wa jiografia wa Misri ana nakala ndogo sana ya Qur’ani Tukufu (Msahafu) ambayo ni ya miaka 280 iliyopita.
Habari ID: 3478074 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/22
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/36
TEHRAN (IQNA) – Ni jambo linalokubalika miongoni mwa Waislamu na wanazuoni wengi wasio Waislamu yaliyomo katika Qur’ani Tukufu hayajabadilika tangu ilipoteremshwa kwa Mtukufu Mtume (SAW).
Habari ID: 3477949 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26
Turathi
LONDON (IQNA) – Mnada wa Christie umeondoka nakala ya maandishi ya Qur'ani Tukufu kwenye mnada wake baada ya baadhi ya wanaharakati kusema ni sehemu ya Msahafu ulioibwa kutoka kwenye jumba la makumbusho la Iran.
Habari ID: 3477808 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29
Turathi ya Kiislamu
Urejeshaji wa Msahafu (Qur'ani Tukufu) ulioandikwa miaka 500 iliyopita hivi karibuni umekamilika eneo la China laTaiwan .
Habari ID: 3477116 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07