IQNA: Makumi ya maelfu ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wamekimbilia katika nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.
Habari ID: 3470768 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
IQNA-Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan yuko nchini Myanmar kuchunguza ukatili wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3470710 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/02
UNHCR
IQNA- Afisa wa Umoja wa Mataifa amesemajeshi la Myanmar linabeba dhima ya kampeni ya mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Rohingya.
Habari ID: 3470698 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/25
IQNA-Jeshi la Myanmar limeua Waislamu wasiopungua 150 wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3470682 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/17
UNICEF
IQNA-Shirika la Umoja la Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF limebaini wasi wasiwake kuhusu jinai za kutisha dhidi ya watoto zinazotekelezwa na jeshi la Myanmar katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3470667 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
Bunge la Umoja wa Ulaya limelaani vikali kuendele akukandamiwa Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3470438 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Maelfu ya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wameuawa na makumu maelfu ya wengine kulazimika kuwa wakimbizi kutokana na mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470202 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/17
Kamati ya haki za binadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Myanmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa Rohingya walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3454884 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/21
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Myanmar itakumbwa na mgogoro mkubwa iwapo uchaguzi wa wiki ijayo hautazingatia vigezo muhimu ikiwa ni pamoja na kuwapa Waislamu haki ya kupiga kura.
Habari ID: 3421779 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/31
Mabudhha wenye misimamo mikali nchini Myanmar tayari wametangaza 'ushindi' dhidi ya Waislamu nchini humo katika uchaguzi utakaofanyika Novemba baada ya kupitishwa sheria tata dhidi ya Waislamu ambayo inawanyima Waislamu wa kabila la Rohingya haki ya kupiga kura.
Habari ID: 3360047 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/07
Umoja wa Mataifa umetoa indhari kuhusu wimbi jipya la wakimbizi wa Myanmar na Bangladesh wanaoelekea katika eneo la Asia Mashariki na yamkini jambo hilo likaibua maafa ya kibinadamu.
Habari ID: 3354581 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa karibu Waislamu nusu milioni wa jamii ya Rohingya huko Myanmar wanaoendelea kukabiliwa na masaibu wanahitaji misaada ya dharura.
Habari ID: 3314114 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/14
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu umuhimu wa kuokoa maisha ya wakimbizi wa Myanmar walioachwa baharini kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3306970 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea wasiwasi wake kuhusu hatma ya wakimbizi na wahamiaji, wengi wao Waislamu wa kabila la Rohingya kutoka Myanmar, walioachwa kwenye Bahari ya Andaman na Lango la Malakka, kati ya Myanmar, Thailand na Malaysia.
Habari ID: 3305556 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/19
Serikali ya Myanmar imetangaza kuwa, Waislamu wa kabila la Rohingya hawana haki ya kupiga kura katika kura ya maoni ya katiba ya nchi hiyo.
Habari ID: 2846218 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/13
Makundi ya kutetea haki za binadamu yamearifu kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wamelazimishwa kuondoka nchini Myanmar katika wiki 3 ziliopita kutokana mpango mpya wa serikali uliozusha mjadala.
Habari ID: 1471524 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/09
Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wangali wanaishi katika hali ngumu na mazingira mabaya na makumi ya maelfu miongoni mwao wanakabiliwa na uhaba wa chakula, maji na huduma za afya.
Habari ID: 1437511 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/09
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani hatua mpya ya serikali ya Myanmar kuondoa jina jamii ya Waislamu wa Rohingya katika takwimu rasmi za nchi hiyo.
Habari ID: 1397232 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/19