TEHRAN (IQNA)-Makaburi ya umati ya Waislamu waliouawa nchini Myanmar yamepatikana katika kijiji kimoja katika jimbo la Rakhine magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471378 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/02
IQNA (TEHRAN)-Serikali ya Bangladesh inasema wakimbizi Waislamu Wa rohingya waliopata hifadhi nchini kufuatia ukatili wanaotendewa nchini Myanmar sasa wamefika milioni moja na idadi hiyo ni kubwa zaidi ya ile ambayo imekuwa ikitajwa katika vyombo vya habari.
Habari ID: 3471360 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19
TEHRAN (IQNA)-Ujumbe wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepanga kutembelea kambi za wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mji wa Cox’s Bazar nchini Bangladesh kuanzia Januari 3-6.
Habari ID: 3471340 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/02
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Kibuddha wa Myanmar umebomoa misikiti 16 kati ya 17 katika vijivi vya eneo Haindafar katika jimbo la Rakhine lenye Waislamu wa jamii ya Rohingya.
Habari ID: 3471308 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/13
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Wakatoliki duniani Papa Francis amejizuia kuwataja Waisalmu wa Rohingya alipohutubu Jumanne akiwa Myanmar pamoja na kuwa jamii hiyo ya waliowachache inakabiliwa na mauaji pamoja na maangamizi ya kizazi nchini humo.
Habari ID: 3471287 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/29
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
Habari ID: 3471248 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/05
TEHRAN (IQNA)-Afisa wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (ICRS) amesema kuna takribani wakimbizi zaidi ya milioni moja Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya kimbari Myanmar na kuingia nchini Bangladesh.
Habari ID: 3471237 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/29
TEHRAN (IQNA)-Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
Habari ID: 3471214 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar.
Habari ID: 3471169 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12
TEHRAN (IQNA)-Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC wamesisitiza kuhusu umuhimu wa kuchukuliwa hatua za haraka kumaliza mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471167 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa kusaidiwa Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuuawa kwa umati nchini Myanmar.
Habari ID: 3471163 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/08
TEHRAN (IQNA)-Mwanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon amesema kunahitajika hatua za kivitendo kusitisha mauji ya umati ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3471161 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/06
TEHRAN (IQNA)-Watoto wa jamii wa Waislamu Wa rohingya walitoroka ukatili Myanmar na kupata hifadhi Bangladesh wamepata fursa ya kujifunza Qur’ani Tukufu katika kambi za wakimbizi.
Habari ID: 3471160 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameitaka Mynmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3471145 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/28
TEHRAN (IQNA)-Mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya wamezingirwa na Mabuddha wenye misimamo mikali katika kijiji kimoja kilichoko katika jimbo la Rakhine, magharibi mwa Myanmar.
Habari ID: 3471139 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/24
TEHRAN (IQNA)-Mabuddha nchini Myanmar wamewazuia Waislamu 21 wa kabila la Rohingya kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471117 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/10
IQNA-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimempongeza Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kwa msimamo wake wa kulaani mauaji na ukandamizaji wa Waislamu nchini Myanmar.
Habari ID: 3470843 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11
Umoja wa Mataifa
IQNA-Umoja wa Mataifa umesema mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya wameuawa nchini Myanmar katika ukandamizaji wa miezi ya hivi karibuni katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3470831 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/03
IQNA: Bangladesh imesema itatekeelza mpango wake tata wa kuwapalekea wakimbizi Waislamu kutoka Myanmar katika kisiwa kilicho mbali sana.
Habari ID: 3470824 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31
IQNA-Mabuddha wenye misimamo mikali na maafisa wa serikali ya Myanmar wamebuni mbinu mpya ya kuwabagua na kuwakandamiza Waislamu katika makazi na nyumba zao.
Habari ID: 3470780 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04