Umrah
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia ilitangaza kurejesha utoaji wa visa za Umrah baada ya kusitishwa wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3475511 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16
Teknolojia
TEHRAN (IQNA) – Huduma mpya ya kisasa imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, mwaka huu ili kusambaza Misahafu kwa waumini na Mahujaji.
Habari ID: 3475493 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mahujaji Wairani wameshiriki katika mjumuiko wa kujibari na kujiweka mbali na washirikina (bar’aat min-al-mushrikeen) siku ya Ijumaa wakati wa Ibada ya Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria
Habari ID: 3475482 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09
Kiongozi Muadhamu Katika Ujumbe wa Hija
TEHRAN (IQNA)- Katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Magharibi zenye kiburi zimezidi kudhoofika siku baada ya siku katika eneo letu nyeti, na hivi karibuni katika dunia nzima.
Habari ID: 3475473 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Kimataifa wa Qur'ani Tukufu Ustadh Yousef Jafarzadeh hivi karibuni alisoma aya ya 125 ya Surah Baqarah katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjidul Haram.
Habari ID: 3475467 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05
Ibada ya Hija na Teknolojia
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia ime yamepeleka roboti 11 smart ili kuzalisha msikiti mkubwa wa Makka wakati wa ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475458 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya waumini wa dini tukufu ya Kiislamu kutoka kona zote za dunia wameendelea kuwasili katika mji mtakatifu wa Makka Ijumaa, wakiwa ni miongoni mwa Waislamu milioni moja wanaotarajiwa kushiriki ibada ya Hija mwaka huu wa 2022 ambapo hii ni mara ya kwanza baada ya miaka miwili ya kuzuia mahujaji kutoka nje ya Saudia kutokana na janga la Covid.
Habari ID: 3475446 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Muislamu Muingereza mwenye asili ya Iraq aliwasili Makka siku ya Jumapili baada ya kuanza safari ya miguu zaidi ya miezi 10 iliyopita nchini Uingereza.
Habari ID: 3475441 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29
Ripoti yafichua
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Waisraeli kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina
Habari ID: 3475415 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04
TEHRAN (IQNA)- Hivi sasa roboti zinatumika kuwaongoza Waislamu wanaofika katika Msikiti Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija Ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3475258 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya watu 40,000 kutoka nchi mbali mbali duniani wametembelea Maonyesho ya Qur'ani Tukufu ambayo yamefanyika kaitka ukumbi wa Four Points wa Hoteli ya Sheraton Al Naseem katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudia.
Habari ID: 3475196 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Misahafu 50,000 imesambwazwa kwa waumini waliofika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram kwa ajili ya Umrah au Hija ndogo wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475194 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya milo milioni 3 ya futari ilitolewa kwenye Msikiti Mkuu wa Makka katika siku 20 za mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1423 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3475164 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia ilithibitisha kwamba matangazo ya moja kwa moja ya au mubashara ya Misikiti Miwili Mitakatifu huko Makka na Madina yataendelea wakati wa mwezi wa Ramadhani baada ya marufuku iliyotangazwa awali kuzua ukosoaji.
Habari ID: 3475074 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/25
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Waislamu duniani kote wamepata furaha tele kuona Sala ya Ijumaa katika Misikiti Mitakatifu ya Makka na Madina imerejea katika hali ya kawaida huku waumini wakiwa wamejaa kikamilifu
Habari ID: 3474460 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23
TEHRAN (IQNA)- Kumetolewa pendekezo la kujengwa barabara kutoka mji mtakatifu wa Mashhad nchini Iran hadi mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3474391 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Usimamizi wa Misikiti Miwili Mitakatifu ya Makka na Madina imeazimia kutumia maroboti katika Msikiti Mtakatifu wa Makka katika ibada ya Hija mwa huu.
Habari ID: 3474103 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufalme wa Saudi Arabia Jumatatu imechapisha picha za walinzi wanawake wakiwa katika Msitiki Mtakatifu wa Makka, al-Masjid al-Ḥaram.
Habari ID: 3473835 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20