iqna

IQNA

Matukio ya Hija 2024
Baadhi ya mahujaji milioni 2 hutekeleza ibada zao za mwisho za Hijja katikati ya mwezi Juni 2024, huko Makka, nchini Saudi Arabia. Moja ya ibada hizi ni Rami Al-Jamarat ambayo inaadhimishwa siku ya Eid al-Adha’ha na wakati wa Siku za Tashriq.
Habari ID: 3478986    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19

Siku za Tashriq ni siku ya 11, 12 na 13 ya mwezi wa Hijri wa Dhul Hija ambapo ibada kuu za Hija kama dhabihu ya wanyama na Rami Al-Jamaratu hufanyika.
Habari ID: 3478974    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/18

Hija 1445
IQNA - Katika kilele cha msimu wa joto kali katika Ufalme wa Saudi Arabi, mamilioni ya Waislamu ulimwenguni kote wamekusanyika Makka kutekeleza ibada ya Hija. Mkusanyiko huu mkubwa unaibua wasiwasi kuhusu changamoto zinazoweza kujitokeza katika siku zijazo.
Habari ID: 3478957    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/10

Hija
IQNA - Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kanuni kali zaidi za Hija mwaka huu, inayolenga wale wanaoshiriki ibada ya Hija bila kibali na pia wale wanaowasaidia kukiuka sheria
Habari ID: 3478797    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09

Hija na Umrah
IQNA – Kikao cha kwanza cha Jukwaa la Hija na Umrah kimepangwa kuanza Jumatatu ijayo, Aprili 22, katika mji mtakatifu wa Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478698    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/18

Laylatul Qadr
IQNA-Katika mkusanyiko wa kihistoria, Waislamu milioni 2.5 walikusanyika na kusali katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, Saudi Arabia, siku ya Ijumaa kuhusiha mojawapo ya usiku mtukufu zaidi wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3478638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Umrah
IQNA - Wakaazi wa mji mtakatifu wa Makka nchini Saudia wamehimizwa kutoa kipaumbele kwa Mahujaji wa kigeni katika Masjid al-Haram au Msikiti Mkuu.
Habari ID: 3478555    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Umoja wa Waislamu
IQNA - Jumuiya ya Waislamu Duniani (WML) imeandaa mkutano unaolenga kukuza maelewano kati ya madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3478533    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Tovuti ya kielektroniki imezinduliwa nchini Saudi Arabia ambapo watu wanaweza kuomba vibali vya kula futari kwa makundi kwenye Msikiti Mkuu wa Makaa
Habari ID: 3478455    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Ulimwengu wa Kiislamu
MAKKA (IQNA) – Mmoja wa maimamu wa Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia, alilazimika kuacha kusalisha Sala siku ya Ijumaa baada ya kuugua.
Habari ID: 3477422    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MAKKA (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Waislamu (MWL) imetangaza mradi mpya wa kuanzisha Jumba la Kimataifa la Makumbusho la Qur'ani Tukufu huko Makka, jiji takatifu zaidi kwa Waislamu.
Habari ID: 3477406    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/09

Turathi za Kiislamu
MAKKA (IQNA) - Maktaba ya Msikiti Mkuu wa Makka nchini Saudi Arabia inaonyesha Misahafu (Nakala za Qur'ani) ya kipekee ya kale na pia michoro ambayo ina aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477252    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08

Wizara ya afya ya Saudi Arabia imewatahadharisha mahujaji kuhusu hatari ya uchovu wa joto wakati wa Hija ya kila mwaka kutokana na kuongezeka kwa joto.
Habari ID: 3477209    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/28

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Mwislamu mwenye asilia ya Bosnia ameamua kutembea kwa miguu Ulaya kuelekea ncini Saudi Arabia wa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3476932    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/29

TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Waislamu walitembelea Msikiti wa Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, wakati wa Mwezi Mtukufu Ramadhani 1444 H- 2023 -baada ya vizuizi vya Covid-19 kuondolewa. Hizi ni picha za angani za Msikiti Mtakatifu.
Habari ID: 3476924    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Makka na Madina
TEHRAN (IQNA) - Mnamo usiku wa 27 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaoaminika kuwa Usiku wa Qadr, mamilioni ya waumini walijaa Msikiti Mkuu ya Makka (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume SAW (Masjid An Nabawi) huko Madina.
Habari ID: 3476885    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18

Ajali ya Winchi
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya Saudia imetoa uamuzi wa ajali ya winchi iliyotokea mwaka 2015 katika Msikiti Mkuu wa Makka ambayo iliua takriban watu 109.
Habari ID: 3476565    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Katika mpango uliobuniwa na mamlaka ya Saudia, Waislamu wapya 100 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume SAW mjini kutekeleza ibada ya Hija ndogo ya Umrah kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3476323    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29

Mafuriko Saudia
TEHRAN (IQNA)- Mafuriko makubwa yalikumba mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa asubuhi kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
Habari ID: 3476292    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

Misikiti Miwili Mitakatifu
TEHRAN (IQNA) - Kichina kimeongezwa kwenye orodha ya lugha ambazo hutarjumiwa au hutafsiriwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram, na Msikiti wa Mtume SAW, Al-Masjid an-Nabawi, katika Vyombo vya Habari.
Habari ID: 3476238    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12