Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia ajali ya kusikitisha katika mji Mtakatifu wa Makka siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3361981 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/13
Wafanyaziara wasiopungua 107 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na kreni au winchi katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Habari ID: 3361271 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/11
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Duru ya 36 ya Mashindano ya Kimatiafa ya Hifdhi, Qiraa na Tafsiri ya Qur’ani Tukufu yameanza leo Novemba 15 katika Msikitu Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) , Saudi Arabia.
Habari ID: 1473482 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Bangladesh Abdul Latif Siddique amefukuzwa kazi kwa kuvunjia heshima ibada ya Hija na Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 1456641 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03