TEHRAN (IQNA)- Maeneo maalumu ya swala yametengwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ) kwa ajili ya walemavu.
Habari ID: 3473673 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22
TEHRAN (IQNA)- Adhana ya kale zaidi kuwahi kurekodiwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid al-Haram) inaaminika kurekodiwa miaka 140 iliyopita.
Habari ID: 3473392 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25
TEHRAN (IQNA) – Waislamu walioutembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita wametumia lita milioni 1.5 za maji ya Zamzam.
Habari ID: 3473383 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kutoka nchi za kigeni ambao wamefika mjini Makka kwa ajili ya Ibada ya Umrah wametembelea Msikiti wa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi mjini Madina kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa.
Habari ID: 3473348 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu raia na wakaazi wa ufalme huo kuswali swala za jamaa za kila siku katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ).
Habari ID: 3473273 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu raia na wakaazi wa ufalme huo kuswali swala za jamaa za kila siku katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ).
Habari ID: 3473270 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18
TEHRAN (IQNA)- Kundi la kwanza la wanaotekeleza ibada ya Umrah waliwasili katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) Jumapili tarehe nne Oktiba.
Habari ID: 3473234 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/06
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesema itawaruhusu Waislamu walioko nchini humo kutekeleza Ibada ya Umrah kuanzia Oktoba Nne.
Habari ID: 3473197 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wameanza kutekeleza ibada katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3473014 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wamewasili katika mji mkuu wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3473003 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudia wamesema Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al-Masjid Al-Ḥaram, hautafunguliwa wakati wa Swala wa Idul Adha mwaka huu kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472991 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23
TEHRAN (IQNA) - Kumezinduliwa Kampeni ya Kimataifa ya kutaka misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina isimamiwe kimataifa na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3472817 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/30
TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) mjini Madina, itaendelewa kufungwa kwa umma kwa ajili ya swala za jamaa hadi mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472689 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudi Arabia wako mbioni kuzuia kuenea ugonjwa wa corona au COVID-19 katika mji mtakatifu wa Makka kutokana na kuenea kwa kasi ugonjwa huo mjini humo pamoja na kuwa kunatekeleza sheria ya kutotoka nje kwa masaa 24.
Habari ID: 3472664 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14
Hofu ya corona
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imetangaza sheria kali ya kutotoka nje katika miji mitakatifu ya Makka na Madina ikiwa ni sehemu za mkakati wa utawala huo wa kifalme kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472627 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/02
TEHRAN (IQNA) – Kesi ya kwanza ya kirusi cha Corona imeripotiwa katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3472554 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11
RIPOTI
TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya imefichua kuwa, Saudia Arabia ilitumia mamluki wa Ufaransa kuua na kukandamiza Waislamu waliokuwa wameanzisha mwamko dhidi ya ufalme wa Saudi Arabia katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al-Masjid Al-Haram) mwaka 1979.
Habari ID: 3472438 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/04
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa.
Habari ID: 3471640 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Waisalmu milioni mbili kutoka maeneo yote ya dunia wamejumuika katika mji mtakatifu wa Makka kuanza Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471636 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/19
TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471632 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17