IQNA – Video na picha zinazoonyesha mvua inayonyesha juu ya Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu katika mji wa Makka zimevuma na kuvutia wengie kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479967 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28
Turathi za Kiislamu
IQNA - Mufti na naibu mufti wa Kyrgyzstan wameonyesha kuvutiwa kwao na turathi za kitamaduni na katika maonyesho huko Wilaya ya Utamaduni ya Hira huko Mecca.
Habari ID: 3479912 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17
Maombolezo
IQNA – Seyed Ahmad Marateb, ambaye alikuwa Muirani wa kwanza Kuadhini juu ya paa la Kaaba Tukufu amefariki akiwa na umri wa miaka 72.
Habari ID: 3479813 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26
Umrah
IQNA - Mamlaka ya Saudia imetangaza muda maalum kwa waumini kusali Swala za Sunna katika eneo la Hateem, linalojulikana pia kama Hijr Ismail, ambalo ni ukuta wa nusu duara ulio karibu na Kaaba Tukufu katika Msikiti Mkuu, Makka.
Habari ID: 3479751 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Wakati wa hafla katika Msikiti Mkuu wa Makkah, washindi wa Mashindano ya 44 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur'ani wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3479318 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga Mashindano ya Kimataifa ya 44 ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur'ani zitafanyika katika Msikiti Mkuu wa Makka siku ya Jumatano.
Habari ID: 3479307 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
IQNA – Washiriki wa Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia wametembelea Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur'ani Tukufu mjini Madina.
Habari ID: 3479306 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Sehemu ya mwisho ya Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka imekamilika huko Makka.
Habari ID: 3479290 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mmoja wa wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Makka alitia fora na kuwavutia sana hadhirina wakati aliopandaa jukwaa Jumatatu.
Habari ID: 3479274 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 173 kutoka nchi 123 wanashiriki katika toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka.
Habari ID: 3479264 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma na Kutafsiri Qur’ani Tukufu yalianza mjini Makka kwa awamu za awali za kufuzu siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479258 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Nchi za Kiislamu
IQNA - Mkutano wa 9 wa kimataifa wa mawaziri wa Awqaf (wakfu) wa nchi za Kiislamu ulianza katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, Jumapili.
Habari ID: 3479227 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
Karbala ya Mwaka 1445
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
Habari ID: 3479079 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Hija ya mwaka huu
Mabadiliko ya hali ya hewa yalizidisha hali ya joto nchini Saudi Arabia inayolaumiwa kwa vifo vya watu 1,300 katika ibada ya Hija mwezi huu.
Habari ID: 3479046 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Hija ya Mwaka 1445
IQNA-Upangaji wa Hija ya mwaka ujao utaanza mara tu baada ya mafanikio ya hija mwaka huu kumalizika, afisa mmoja wa Saudia amesema.
Habari ID: 3478991 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20
Matukio ya Hija 2024
Baadhi ya mahujaji milioni 2 hutekeleza ibada zao za mwisho za Hijja katikati ya mwezi Juni 2024, huko Makka, nchini Saudi Arabia.
Moja ya ibada hizi ni Rami Al-Jamarat ambayo inaadhimishwa siku ya Eid al-Adha’ha na wakati wa Siku za Tashriq.
Habari ID: 3478986 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19
Siku za Tashriq ni siku ya 11, 12 na 13 ya mwezi wa Hijri wa Dhul Hija ambapo ibada kuu za Hija kama dhabihu ya wanyama na Rami Al-Jamaratu hufanyika.
Habari ID: 3478974 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/18
Hija 1445
IQNA - Katika kilele cha msimu wa joto kali katika Ufalme wa Saudi Arabi, mamilioni ya Waislamu ulimwenguni kote wamekusanyika Makka kutekeleza ibada ya Hija. Mkusanyiko huu mkubwa unaibua wasiwasi kuhusu changamoto zinazoweza kujitokeza katika siku zijazo.
Habari ID: 3478957 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/10
Hija
IQNA - Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kanuni kali zaidi za Hija mwaka huu, inayolenga wale wanaoshiriki ibada ya Hija bila kibali na pia wale wanaowasaidia kukiuka sheria
Habari ID: 3478797 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Hija na Umrah
IQNA – Kikao cha kwanza cha Jukwaa la Hija na Umrah kimepangwa kuanza Jumatatu ijayo, Aprili 22, katika mji mtakatifu wa Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3478698 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/18