Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW, tawi la Senegal, kimepanga warsha maalumu ya misingi ya tajweed na usomaji Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470482 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imealikwa kama mgeni wa heshima katika Mjumuiko Mkubwa wa 9 wa Qur’ani nchini Senegal.
Habari ID: 3470477 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/27
Awamu ya 24 ya Mashindano ya Qur'ani ya nchi za Afrika Magharibi yamefanyika nchini Senegal.
Habari ID: 3470411 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23
Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Quds limepangwa kufanyika katika Ijumaa y Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dakar, Senegal kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470401 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20
Mikutano wa "Wanafunzi Waislamu, Dunia Isiyo na Machafuko" na mwingine wa "Nafasi ya Wasomi wa Utamaduni Katika Ulimwengu wa Kiislamu ili Kufikia Dunia Isiyo na Machafuko" imepangwa kufanyika wiki ijayo nchini Senegal.
Habari ID: 3470292 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04
Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) nchini Senegal amekutana na viongozi wa Wakristo nchini humo na kuwakabidhi nakala ya Qur’ani iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kifaransa.
Habari ID: 3470229 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/05
Kikao cha kwanza cha Qur'ani Tukufu huko magharibi mwa Afrika kimefunguliwa katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470203 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/17
Kongamano la Kimataifa lenye anuani ya "Uislamu na Amani" limefanyika wiki hii katika mji mkuu wa Senegal, Dhakar.
Habari ID: 3336950 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/30
Msomi wa chuo kikuu nchini Senegal ametoa hotuba kali mbele ya balozi wa Saudi nchini humo ambapo ameukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa sera zake za undumakuwili na unafiki hasa uungaji mkono wake wa ugaidi na jinai dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3309969 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/01
Kikao cha kumi cha kamati ya kudumu inayohusika na masuala ya utamaduni na habari ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuhusu nafasi ya vijana na vyombo vya habari katika kudumisha amani na uthabiti katika Ulimwengu wa Kiislamu kimefanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3233866 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/30
Demba Ba mchezaji wa Timu ya Soka ya Chelsea katika ligi ya Premier nchini nchini Uingereza amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika nchi yake asili, Senegal.
Habari ID: 1405411 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10