kano

IQNA

IQNA – Kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya ujambazi na vurugu, Serikali ya Jimbo la Kano nchini Nigeria imeandaa kikao cha dua maalum mwishoni mwa wiki, ikiwakusanya Maqari au wasomaji wa Qur’ani Tukufu wapatao 4,444 kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani na usalama katika jimbo lote na nchi zima kwa ujumla.
Habari ID: 3481636    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09

TEHRAN (IQNA) - Mahakama moja wa Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mwanamuziki ambaye alikufuru na kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3473056    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mauaji ya Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS kaskazini mwa Nigeria
Habari ID: 3470677    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15

Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

Waislamu 21 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria baada ya gaidi moja kujiripua kwenye msafara wa Waislamu hao Ijumaa hii.
Habari ID: 3457492    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/27

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la kigaidi kwenye Msikiti Mkuu wa Kano, Nigeria jana Ijumaa, ambalo limeripotiwa kupelekeka kuuawa watu zaidi ya 120 na kuwajeruhi wanaokisiwa kuwa mamia ya wengine.
Habari ID: 2613079    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29