kiislamu - Ukurasa 9

IQNA

Qur’ani Tukufu inawaita watu wote kuelekea katika akili, hekima na mazungumzo ya kimantiki, amesema mwanazuoni mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3443991   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/06

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kwa nguvu zake zote kupambana na njama za mabeberu.
Habari ID: 3443715   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3443189   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa malengo ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati yanatofautiana kwa daraja 180 na ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3432363   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/02

Mkutano wa pili la kimataifa la kutafakari katika Qur’ani umefanyika nchini Morocco. .
Habari ID: 3410361   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Umoja wa Mataifa umetakiwa kuingilia kati na kuuzuia utawala wa Saudi Arabia kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3395089   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27

Hujuma mbili za kigaidi zilizolenga misikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria zimepelekea watu wasiopungua 55 waliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3393551   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbalimbali za dunia wameshiriki maombolezo ya Ashura kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume mtukufu, Muhammad SAW, yaani Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib AS. Nchini Iran misafara na maandamano ya mamia ya maelfu ya watu inaendelea kushuhudiwa katika miji mbalimbali katika kukumbuka siku ya Ashura.
Habari ID: 3393538   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Tuko katika mwezi wa Muharram ambao unahuisha na kurejesha akilini kumbukumbu ya mapambano adhimu na yenye adhama. Muharram ni mwezi uliofungamana na jina la Hussein Ibn Ali (AS) na harakati isiyo na mbadala ya mtukufu huyo katika ardhi ya Karbala.
Habari ID: 3391638   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/22

Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuhusu kulindwa maslahi ya taifa la Iran katika utekelezwaji mapatano ya nyuklia kati ya Iran na madola sita makubwa duniani.
Habari ID: 3391463   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya cha serikali za Magharibi na taasisi zinazodai kutetea haki za binadamu kuhusu maafa ya machungu ya Mina.
Habari ID: 3390451   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa mustakbali wa Iran unang'ara na unaambatana na maendeleo, uwezo na ushawishi wa kila siku katika kanda hii na dunia nzima.
Habari ID: 3385744   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/15

Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza umuhimu wa kudhaminiwa usalama wa mahujaji katika ibada ya kila mwaka ya Hija.
Habari ID: 3385427   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14

Umoja wa Wanawake Waislamu Duniani wametoa taarifa ya rambirambi kufuatia kuuawa maelfu ya mahujaji kutoka nchi mbali mbali katika mkanyangano wa Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3385195   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ni ngome hai na ya mstari wa mbele ya kukabiliana na vita laini.
Habari ID: 3384712   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12

Ayatollah Araki
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kimatiafa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu Ayatollah Mohsen Araki ametoa wito kwa wanazuoni wa Kiislamu kufuatilia suala la kuundwa Umoja wa Nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3384011   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/11

Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na kusema kuwa taifa la Yemen litapambana hadi kupata ushindi.
Habari ID: 3383363   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Marekani inasaka fursa ya kupenya na kulazimisha matakwa yake kwa taifa la Iran.
Habari ID: 3383038   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/08

Tarehe 24 Septemba katika siku kuu ya Idul Adha wakati zilipoenea habari za kukanyagana na kuzimia baadhi ya Mahujaji huko Mina, hakuna aliyedhani au kuamini kuwa tukio hilo lingegeuka na kuwa maafa makubwa na ya kuogofya ambayo yameshuhudiwa.
Habari ID: 3381643   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/05

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lazima ukweli wa maafa ya Mina, Saudia ubainishwe kupitia tume ya uchunguzi itakayosimamiwa na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3377977   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03