kiislamu - Ukurasa 12

IQNA

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema, kuwakufurisha Waislamu wa madhehebu ya Shia kunakofanyika kupitia kanali za televisheni za satalaiti ni kitendo kisichokubalika.
Habari ID: 3339753   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislamu
Msomi wa Kiislamu Uingereza Dkt. Kamal Helbawi amesema wito wa Chuo Kikuu cha Al Azhar Misri wa kutaka kufanyike kikao cha pamoja baina ya maulamaa wa Kishia na Kisuni ni fursa nzuri ya kuondoa fitina zilizopo katika jamii za Waislamu duniani.
Habari ID: 3339022   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/05

Kampeni ya kimataifa imeanzishwa kwa lengo la kuushinikikza utawala wa Saudi Arabia kumuachilia huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
Habari ID: 3338914   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Mufti Mkuu wa Misri amelaani vikali kitendo walowezi Waisraeli kumuua kinyama mtoto mdogo wa Palestina siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3338079   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/02

Kongamano la Kimataifa lenye anuani ya "Uislamu na Amani" limefanyika wiki hii katika mji mkuu wa Senegal, Dhakar.
Habari ID: 3336950   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/30

Idadi ya misikiti duniani inakadiriwa kuongezeka na kufika takribani milioni nne ifikapo mwaka 2019.
Habari ID: 3336897   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/29

Sayyid Hassan Nasrallah
Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuutisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kati ya mafanikio makubywa ya harakati hiyo.
Habari ID: 3336437   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/28

Mufti Mkuu wa Quds
Mufti Mkuu wa Palestina ametoa wito wa kuhukumiwa wakuu wa wutawala wa Kizayuni wa Israel katika duru za kimataifa.
Habari ID: 3335935   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27

Bi.Samantha Elauf aliyenyimwa kazi na shirika la Abercrombie & Fitch nchini Marekani kwa sababu alivaa vazi la staha la Hijabu wakati wa mahojiano ya kutafuta kazi sasa amelipwa fidia kufuatia amri ya mahakama.
Habari ID: 3334845   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema mwamko wa Waislamu ni nukta muhimu katika mustakabali wa Masharik ya Kati.
Habari ID: 3332314   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23

Msomaji bora katika Mashindano ya 57 ya Kimatiafa ya Qur’ani Malaysia amepokea zawadi kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3332311   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23

Baraza Kuu la Vyombo vya Habari Tunisia limefunga televisheni na radio kadhaa za Kiislamu nchini humo kwa tuhuma kuwa hazina vibali.
Habari ID: 3331856   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21

Idara ya kuchunguza chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika Baraza Kuu la Waislamu Ufaransa imeonya kuhusu ongezeko la kasi la hujuma za chuki dhidi ya Uislamu na vitisho dhidi ya Waislamu nchini humo katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
Habari ID: 3331842   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21

Mufti wa Tunisia Sheikh Hamda Saeed amewaomba radhi Watunisia baada ya kubaini kuwa alifanya kosa kwa kutangaza mapema siku kuu ya Idul Ftir.
Habari ID: 3330378   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/20

Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
Habari ID: 3329125   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3329122   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Habari ID: 3329111   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema taifa la Iran litaendelea kuwaunga mkono marafiki zake katika eneo la Mashariki ya Kati kama vile wananchi wa mataifa ya Yemen, Palestina, Bahrain, Iraq, Syria na Lebanon.
Habari ID: 3329110   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18