iqna

IQNA

mahakama
Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Kadhia ya Palestina
IQNA-Afrika Kusini imesema inatazamia hukumu ya awali ya kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza itatolewa Ijumaa.
Habari ID: 3478251    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Jinai za Israel
IQNA-Mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuhusu tuhuma za mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza kuanza kusikilizwa wiki ijayo.
Habari ID: 3478147    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/04

TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya juu ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa uamuzi wa kuzuiwa kwa wanawake wenye hijabu kuingia katika maeneo ya kazi, ikidai kuwa marufuku hiyo haimaanishi ubaguzi.
Habari ID: 3475933    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran na maafisa na wafanyakazi wa chombo hicho akisema matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui ni kupata ushindi na maendeleo.
Habari ID: 3475438    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28

TEHRAN (IQNA)-Wanaume wawili wa Illinois ambao walisaidia kulipua msikiti wa Minnesota mnamo 2017 mnamo Jumanne walipokea vifungo vya jela chini ya kiwango cha miaka 35 ambacho walitakiwa kufungwa.
Habari ID: 3475124    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu yaani Nikah.
Habari ID: 3471617    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/03

Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamuru wasichana Waislamu nchini humo wanaruhusiwe kuvaa vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3470557    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10

Ujumbe maalumu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) unaelekea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ili kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na utawala haramu wa Israel katika vita vya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470548    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/04

Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza imetangaza kuwa faili la mauaji ya Waislamu katika mji wa Zaria nchini Nigeria limewasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague nchini Uholanzi.
Habari ID: 3470211    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/23

Bi.Samantha Elauf aliyenyimwa kazi na shirika la Abercrombie & Fitch nchini Marekani kwa sababu alivaa vazi la staha la Hijabu wakati wa mahojiano ya kutafuta kazi sasa amelipwa fidia kufuatia amri ya mahakama .
Habari ID: 3334845    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Jumuiya ya Waislamu wa Kishia Tanzania, AfroShia Muslim Community, inapanga maandamano ya amani kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kulaani jinai dhidi ya Wapalestina na pia kuunga mkono jitihada za amani duniani.
Habari ID: 3322431    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03

Jaji wa Mahakama Kuu ya mji wa Lagos nchini Nigeria ametetea na kuungamkono marufuku iliyokuwa imetangazwa kwa vazi la hijabu ya Kiislamu kwa shule za serikali katika mji huo.
Habari ID: 1461427    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/19