iqna

IQNA

IQNA – Mkutano wa 62 wa Mwaka wa Jumuiya ya Kiislamu ya Amerika Kaskazini (ISNA) utaanza huko Rosemont, jimbo la Illinois, Marekani, Ijumaa hii.
Habari ID: 3481144    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/27

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa eneo la Amerika Kaskazni wamekutana katika la 42 la kila mwaka ambapo wamejadili changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo katika nchi za Canada na Marekani hasa katika utawala wa Donald Trump.
Habari ID: 3470938    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17