basketiboli

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Mpira wa Kikapu (basketiboli) Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake Waislamu wenye Hijabu kushiriki katika michezo ya kimataifa ya basketiboli).
Habari ID: 3470970   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/06