kususia

IQNA

IQNA – Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Umma nchini Uhispania (RTVE), José Pablo López, amemkemea Mkurugenzi wa Mashindano ya Muziki ya Eurovision kwa barua yake ya wazi kwa mashabiki ambayo haikutaja Gaza wala utawala wa Israel, akisema hatua hiyo ni “kushindwa” wakati mashindano hayo yanapitia mgogoro mkubwa wa kiheshima.
Habari ID: 3481653    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/13

Kususia Israel
IQNA - Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi amesema kuususia kiuchumi  utawala wa Kizayuni wa Israel kunaweza kuwa mkakati "mwenye ufanisi zaidi" wa kukabiliana na utawala huo kwa muda mrefu.  
Habari ID: 3479572    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/11

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
QATAR (IQNA) -Supamaketi kubwa nchini Qatar imeondoa bidhaa zote za Uswidi kwenye rafu zake - na kutoa msimamo wa kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Skandinavia, kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya ndani.
Habari ID: 3477340    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/25

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470978    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13