iqna

IQNA

libya
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha kuhifadhi Qur'ani na kufundisha sayansi ya Qur'ani kimezinduliwa huko Sirte, mji ulio kaskazini mwa Libya.
Habari ID: 3478474    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Elimu ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Libya imeandaa kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu sayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478020    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) nchini Libya imezindua Mus’haf (nakala ya Qur’ani Tukufu) iliyochapishwa na Shirika la Wakfu la nchi hiyo.
Habari ID: 3476734    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/20

Vita dhidi ya ugaidi
TEHRAN (IQNA)- Mahakama moja nchini Libya imewahukumu kifo magaidi 17 waliokuwa wamejiunga na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh).
Habari ID: 3476279    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Programu mbalimbali zilifanyika nchini Libya mapema wiki hii kuadhimisha siku ya kitaifa ya nchi hiyo ya kuwaenzi wnaohudumia Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476026    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03

Harakati ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Siku ya mwisho ya mwezi Oktoba imetajwa kuwa siku ya kuwaenzi wanaharakati wa Qur’ani Tukufu nchini Libya.
Habari ID: 3475971    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22

Sanaa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la kimataifa kuhusu orthografia wa Qur'ani limezinduliwa katika mji mkuu wa Libya wa Tripoli siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475949    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, serikali ya Libya imeanzisha kamati ya bidhaa na huduma Halal na kubainisha majukumu yake.
Habari ID: 3475669    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

TEHRAN (IQNA) – Duru ya 10 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Libya imeanza Jumapili katika mji wa Benghazi.
Habari ID: 3475376    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14

TEHRAN (IQNA) - Baada ya miaka kadhaa ya kusimamishwa kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, mashindano ya kimataifa ya Quran ya Libya yatafanyika tena mwaka huu.
Habari ID: 3475312    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29

TEHRAN (IQNA)- Timu ya kitaifa ya Libya ya mchezo wa kushindana kwa vitara au fencing imejiondoa katika ‘Mashindano ya Dunia ya Fencing’ ili kujizuia kukutana na timu ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475116    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12

Maafisa wanaosimamia uchaguzi wa kwanza wa rais katika nchi iliyovurugwa kwa vita ya Libya wamethibitisha kuwa haiwezekani kuandaa uchaguzi huo Ijumaa hii kama ilivyopangwa na kupendekeza uahirishwe kwa mwezi mmoja.
Habari ID: 3474706    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Yusuf ni mvulana mwenye umri wa miaka sita kutoka Libya ambaye ana ustadi mkubwa katika kusoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474378    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04

TEHRAN (IQNA) –Rais Kais Saied wa Tunisia leo ametembelea nchini ya Libya ambapo amefnaya mazungumzo na viongozi wa serikali mpya ya umoja wa kitaifa.
Habari ID: 3473743    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye baada ya mazungumzo marefu na tata pande hasimu nchini Libya zimetiliana saini makubaliano ya usitishaji vita.
Habari ID: 3473292    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24

TEHRAN (IQNA) - Kaimu mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ana imani ya kufikiwa mkataba wa kudumu wa kusitisha mapigano nchini Libya kutokana na mazungumzo yanayoendelea kati ya pande hasimu.
Habari ID: 3473286    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/22

TEHRAN (IQNA) – Misikiti imefunguliwa tena katika mji mkuu wa Libya, Tripoli baada ya kufungwa kwa muda wa miezi saba ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473248    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/10

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wenye hasira nchini Libya wameteketeza moto jengo la ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) mjini Tripoli wakilalamikia hatua ya serikali ya Abu Dhabi ya kufikia makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3473075    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/16

TEHRAN (IQNA) - Bunge la Misri limeidhinisha wanajeshi wa nchi hiyo kutumwa Libya na hivyo kuandaa mazingira ya kuvamiwa kijeshi nchi hiyo jirani.
Habari ID: 3472984    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/21