uturuki - Ukurasa 5

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mchunguzi maalumu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa ushahidi unaonyesha mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa ufalme huo walihusika na mauaji ya mwandishi habariJamal Khashoggi.
Habari ID: 3472008    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/20

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamemalizika kwa kutunukwia zawadi washindi.
Habari ID: 3471975    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/28

TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Hagia Sophia mjini Istanbul litageuzwa na kurejea katika hadhi yake ya msikiti, ameamuru Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki.
Habari ID: 3471893    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/29

TEHRAN (IQNA)-Moja ya nakala ndogo zaidi za Qur’ani duniani imewekwa katika maonyesho katika mji wa Kusadasi, wilayani Aydin nchini Uturuki.
Habari ID: 3471712    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/19

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu hii leo ni ukuruba zaidi na mshikamano wa nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3471662    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/07

Rais wa Uturuki atahadharisha
TEHRAN (IQNA) – Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemkosoa Kansela Sebastian Kurz wa Austria kufuatia uamuzi wa serikali yake kufunga misikiti saba na kuwatimua maimamu 40.
Habari ID: 3471550    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/10

TEHRAN (IQNA) – Kutokana na Waislamu kuswali mara tano kwa siku katika sala za jamaa misikitini, suala la usafi na unadhifu ni muhimu sana na limetiliwa mkazo katika mfundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3471537    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/30

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Uturuki yameanza Jumapili mjini Istanbul.
Habari ID: 3471525    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21

TEHRAN (IQNA)- Idara ya masuala ya kidini nchini Uturuki imetangaza mpango wa kuandika tafsiri mpya ya Qur'ani itakayaondikwa kwa mchango wa wanasayansi.
Habari ID: 3471452    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/03

TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Benki na Taasisiza Kifedha za Kiislamu (CIBAFI) limepanga limetangaza kuwa kikao chake cha tatu cha kimataifa kitafnayika Aprili 18-19 mwakani mjini Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471313    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/17

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471252    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07

TEHRAN (IQNA)- Watoto katika mji wa Istanbul Uturuki wametunukiwa zawadi ya baiskeli kwa kushiriki katika sala ya jamaa msikitini kwa siku 40 mfululizo.
Habari ID: 3471213    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/12

Kiongozi Muadhamu katika mkutano wa Rais wa Uturuki:
TEHRAN (IQNA)-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3471205    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/05

TEHRAN (IQNA)-Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Uturuki, Sheikh Abdullah Hatipoglu aliaga dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 88.
Habari ID: 3471086    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/26

TEHRAN (IQNA)- Sayyed Mostafa Husseini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa kushika nafasi ya pili katika qiraa katika Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470992    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/24

TEHRAN (IQNA)-Mwanamke raia wa Uturuki ambaye amehifadhi nusu ya Qur'ani hivi sasa anataraji kuhifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3470924    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08

IQNA-Serikali ya Uturuki imelaaniwa vikali kwa kuamuru kufungwa televisheni mbili za Waislamu wa madhehebu ya Shia ambazo zilidaiwa kueneza "propaganda dhidi ya serikali".
Habari ID: 3470811    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/25

Nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono karne saba zilizopita zimeanza kuonyesha katika Taasisi ya Smithsonian, mjini Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470626    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Habari ID: 3470555    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10

Habari ID: 3470459    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18