iqna

IQNA

Qarii wa Muirani Medhi Gholamnejad Jumamosi alionyesha ustadi wake katika kusoma Qur'ani Tukufu katika Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470379    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12

Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza leo Ijumaa katika mji wa Istanbul.
Habari ID: 3470374    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/10

Mfalme Abdullah II wa Jordan ameituhumi Uturuki kuwa inahimiza misimamo mikali eneo la Mashariki ya Kati sambamba na kueneza magaidi bara Ulaya.
Habari ID: 3470219    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28

Jumuiya ya Kiutamaduni, Kisayansi na Kielimu ya Nchi za Kiislamu ISESCO imetoa taarifa na kulaani vikali mlipuko wa jana katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara.
Habari ID: 3384025    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/11

Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Binti Mturuki mwenye umri wa miaka 12 wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi mitatu tu.
Habari ID: 3332177    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei amesema katika mazungumzo yake na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki aliyeko safarini hapa nchini kwamba mwamko wa Kiislamu ndiyo sababu kuu ya wasiwasi wa maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3108936    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/08

Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kitakfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono makundi ya kitakfiri kwa ajili ya kuhudumia mabwana zake.
Habari ID: 2930963    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ege kilichoko katika mji wa Izmir nchini Uturuki amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela, baada ya kumzuia mwanafunzi aliyevaa hijabu ya Kiislamu kuingia darasani.
Habari ID: 2613249    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/30

Serikali ya Uturuki imetangaza kuanza mpango wa ujenzi wa misikiti katika vyuo vikuu vyote vya umma nchini humo.
Habari ID: 1475780    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/22

Rais Rajab Tayyib Erdogan amesema Bara Amerika lilivumbuliwa na Waislamu katika karne ya 12 Miladia, karibu karne tatu kabla ya Christopher Columbus kufika hapo.
Habari ID: 1474359    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/17

Tajiri maarufu wa Saudi Arabia Al Waleed bin Talal amekiri kuwa nchi hiyo ya kifalme inawasaidia magaidi wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL) ambalo linapigana dhidi ya serikali za Iraq na Syria.
Habari ID: 1463446    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema, migogoro inayoendelea hivi sasa Mashariki ya Kati ina lengo la kuchora upya ramani ya eneo hili.
Habari ID: 1462702    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21