TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki amesema wanandoa wawili raia wa utawala haramu wa Israel waliokamatwa nchini humo wiki iliyopita walikuwa wanatekeleza ujasusi wa kijeshi na kisiasa.
Habari ID: 3474572 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18
TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16
Rais Raisi wa Iran katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
Habari ID: 3474561 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Uturuki wameamua kupunguza makali ya sheria ambazo zinatumika misikitini katika wakati huu wa janga la COVID-19.
Habari ID: 3474553 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Katika Ofisi ya Rais wa Uturuki (Diyanet) imetangaza kuwa karibu watoto milioni 2 walifaulu katika kozi za kuhifadhi Quran zilizofanyika kote nchini.
Habari ID: 3474226 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25
TEHRAN (IQNA)- Ali Erbas Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini Katika Ofisi ya Rais wa Uturuki (Diyanet) hivi karibuni aliadhini akiwa ameandamana na Qarii mashuhuri wa Uturuki Othman Shaheen.
Habari ID: 3474039 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/24
TEHRAN (IQNA)- Kuna msikiti mkongwe nchini Uturuki ambao hauna paa na hivyo mbali na kuwa ni eneo la ibada sasa pia ni kivutio cha utalii.
Habari ID: 3474035 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23
TEHRAN (IQNA)- Maelefu ya waumini wamejitokeza katika medani ya Taksim kati kati ya mji wa Istanbul nchini Uturuki jana Ijumaa ambapo walijiunga na Rais Recep Tayyip Erdogan katika uzinduzi wa msikiti mpya.
Ujenzi wa msikiti huo wenye uwezo wa kubeba waumini 2,250 ulianza mwaka 2017.
Habari ID: 3473957 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29
Rais Iran katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Uturuki na kusisitiza kuwa kadhia ya Palestina ni kadhia muhimu zaidi ya pamoja kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
Habari ID: 3473917 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/16
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la misaada ya Uturuki limesambaza nakala zaidi ya 700,000 za Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa vyuo vya Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3473770 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imewatunuku Waislamu wa Argentina vitabu 7,000 vya kidini na nakala za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa Kihispania.
Habari ID: 3473589 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25
TEHRAN (IQNA)- Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
Habari ID: 3473570 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19
TEHRAN (IQNA) - Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambaza nakala milioni moja za Qur’ani katika nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473527 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05
TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutoa misaada nchini Uturuki limewatunuku watu wa Djibouti nakala za Qur'ani tukufu zipatazo 30,000.
Habari ID: 3473456 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14
TEHRAN (IQNA) - Wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kwamba, wanategemea kutoka kwa Rais wa Uturuki ujirani mwema na kufanyika juhudi za kuweko umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu na uletaji amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi na kutangaza kuwa, lugha za kufarakanisha za Erdogan zinashangaza na katu hazikubaliki.
Habari ID: 3473454 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14
TEHRAN (IQNA) –Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Dyanet) imepongeza hukumu ya maisha jela iliyotolewa dhidi ya gaidi Muaustralia ambaye alihusika katika mauaji ya Waislamu nchini New Zealand.
Habari ID: 3473112 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
TEHRAN (IQNA) – Baada ya msikiti wa Hagia Sophia kufunguliwa mjini Istanbul, Uturuki, idadi kubwa ya watalii wa kigeni na wa ndani ya nchi wamefika katika msikiti huo.
Habari ID: 3473015 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imeipongeza Uturuki kwa hatua yake ya kulirejeshea jengo la kihistoria la Hagia Sophia hadi yake ya msikiti.
Habari ID: 3473000 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26
Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86 ambapo maelfu ya waumini wameshiriki katika swala hiyo mnamo Julai 24, 2020
Habari ID: 3472996 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25
TEHRAN (IQNA)- Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86.
Habari ID: 3472995 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24