iqna

IQNA

IQNA-Mabomu mawili yamelipuka katika mji mkuu wa Syria Damascus katika eneo lililo karibu na Haram ya Bibi Sakina SA na kupelekea wafanya ziara wasiopungua 45 kuuawa shahidi.
Habari ID: 3470889    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/11

IQNA: Kinara wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ametoroka mji wa Mosul, Iraq kwa msaada wa wanajeshi wa Marekani katika eneo hilo.
Habari ID: 3470887    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10

IQNA-Imamu wa msikiti mmoja katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad amepigwa risasi na kuuawa magharibi mwa mji huo.
Habari ID: 3470877    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

Waziri wa Ulinzi wa Iran
IQNA: Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema muungano wa Wamagharibi wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya kimaonesho na ya hadaa.
Habari ID: 3470765    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/29

IQNA-Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Badreddin Hassoun amesema baadhi ya vituo vinavyojiita kuwa vya Kiislamu barani Ulaya vinaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470713    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ames isis tiza kuwa makundi yatendayo jinai ya kitakfiri, kwa mara nyingine yametekeleza hujuma kwa woga na kwa njia ya kuogofya na hivyo kuonyesha uso wao khabithi na wa kishetani kwa wote
Habari ID: 3470700    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/26

Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati wa Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema Saudi Arabia na Marekani ndio waungaji mkono wakuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika eneo.
Habari ID: 3470632    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/24

Mufti wa Misri
Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470602    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/07

Kinara wa magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
Habari ID: 3470596    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03

Baada ya kundi la kigaidi la ISIS kutangaza kuteua kinara mpya wa kundi la kigaidi la Boko Haram, kumeibuka hitilafu huku kinara wa muda mrefu wa Boko Haram akipinga uteuzi huo.
Habari ID: 3470495    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/05

Wanajeshi Wairaqi wamekuwa na kikao maalumu cha kusoma Qur’ani katika huko Saad al A’adhim katika mkoa wa Diyala, eneo ambalo wamelikomboa hivi karibuni kutoka kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470483    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29

Wabunge Uingereza
Wabunge nchini Uingereza wameutaka utawala wa Saudia na nchi nyingine za Kiarabu zizuie matajiri wa nchi hizo kulifadhili kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470452    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13

Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu Uingereza ametoa taarifa na kusema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh halina uhusiano wowote na Uislamu.
Habari ID: 3470448    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi amesema magaidi wa ISIS waliibuliwa kuiangamiza Iran lakini kwa nguvu zake, Iran imeweza kuwalemaza.
Habari ID: 3470415    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/26

Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damscus.
Habari ID: 3470376    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11

Waziri wa Mashauri ya Kigeni Iraq, Ibrahim Jafari amesema magaidi wa ISIS (Daesh) wanatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu ili kuzuia jeshi la Iraq kuingia mji wa Fallujah.
Habari ID: 3470373    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/09

Taifa la Tanzania limetikiswa na mauaji ya kikatili yaliyotekelezwa na magaidi katika msikiti mmoja wa mjini Mwanza kaskazini mwa nchi hiyo Jumatano iliyopita.
Habari ID: 3470324    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Waandamanaji Berlin
Maandamano yamefanyika nje ya Ubalozi wa Saudi Arabia mjini Berlin, Ujerumani ambapo washiriki wameilaani Saudia kwa kuendelea kutoa misaada kwa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS.
Habari ID: 3470314    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/15

Wanawake Waisalmu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Marekani wamefanya kongamano maalumu kwa lengo la kuimarisha umoja wa Kiislamu baina yao.
Habari ID: 3470282    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01

Watu wasiopungua 11 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Habari ID: 3470264    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23