Taarifa zainasema gaidi alijilipua katika lango kuu la Haram hiyo ya Bibi Zainab SA, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW.
Mlipuko huo ulifuatiwa na mlipuko mwingine ndani ya gari lililokuwa limetegwa bomu katika mtaa ulio karibu wa al-Tin.
Magaidi wa ISIS wameilenga Haram hiyo takatifu mara tatu mwaka huu ambapo idadi kubwa ya watu wameuawa na wengine kujeruhiwa.
Syria ilitumbukia katika machafuko ya ndani Machi mwaka 2011 na Umoja wa Matiafa unasema tangu wakati huo watu zaidi ya 400,000 wameuawa. Serikali ya Syria inazilaimu baadhi ya nchi za Magharibi hasa Marekani na waitifaki wake katika eneo yaani Saudi Arabia, Qatar, Uturuki na utawala haramu wa Israel kuwa ndio waungaji mkono wa magaidi wanaotaka kuiangusha serikali ya Rais Assad.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Syria, SANA, gaidi alijilipua katika lango kuu la Haram hiyo ya Bibi Zainab SA, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW.