Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametoa ujumbe tofauti kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Iran.
Habari ID: 3383361 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09
Kundi la magaidi na wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kwa mara nyingine wametishia kuibomoa al-Ka'aba katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3353091 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unafaidika sana na mgogoro baina wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni.
Habari ID: 3311306 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06
Kinara wa kundi la kigaidi na ki takfiri la Boko Haram nchini Nigeria, ametangaza muungano wa kundi hilo na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL).
Habari ID: 2955481 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/09
Kundi la wanamgambo wa ki takfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria hivi sasa linaiga mbinu sawa na zile zinazotumiwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL) nchini Syria.
Habari ID: 2930964 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05
Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa vikali hatua ya Uturuki ya kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na ki takfiri na kubainisha kwamba, Rais wa nchi hiyo Raccep Tayyip Erdogan anayaunga mkono makundi ya ki takfiri kwa ajili ya kuhudumia mabwana zake.
Habari ID: 2930963 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05
Imam Khamenei
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumanne mjini Tehran ameonana na maulamaa, wanavyuoni, wasomi na wageni walioshiriki kwenye Kongamano la Kimataifa la Mirengo ya Ki takfiri kwa Mtazamo wa Maulamaa wa Kiislamu na kulitaja suala la kuzuka upya makundi ya ki takfiri katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni tatizo lililopandikizwa na mabeberu katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2612034 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/26
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema, migogoro inayoendelea hivi sasa Mashariki ya Kati ina lengo la kuchora upya ramani ya eneo hili.
Habari ID: 1462702 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe wa kila mwaka wa Hija kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu, ambapo amesema Miongoni mwa masuala muhimu na yanayostahiki kupewa kipaumbele kikubwa zaidi hivi sasa ni suala la mshikamano na umoja wa Waislamu.
Habari ID: 1456588 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kipaumbele cha kwanza cha Hizbullah ni kukabiliana vikali na makundi ya kigaidi na ki takfiri na kuzuia kuenea machafuko nchini Lebanon.
Habari ID: 1456409 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/01
Magaidi wa Ki takfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
Habari ID: 1407014 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15
Mwanazuoni mmoja wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amesema kuwa makundi ya Mawahabi na Ma takfiri wanaoipinga serikali ya Syria wanapata himaya ya nchi za Magharibi.
Habari ID: 1405405 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10
Katika vipindi mbali mbali vya historia, wanafikra wameweza kunawiri katika nyuga za utamaduni na sayansi na hivyo kuwafungulia wanaadamu wengi njia ya nuru na saada.
Habari ID: 1402070 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/02
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu,Hizbullah, nchini Lebanon amesema iwapo wanamapambano wa harakati hiyo wasingeliingia nchini Syria, makundi ya kigaidi na ki takfiri yangeliwanyanyasa wananchi wote wa Lebanon.
Habari ID: 1389973 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/30
Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kidini nchini Misri imeandaa semina yenye anuani ya ‘Hatari ya Fikra za Kitakfri’.
Habari ID: 1375500 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/16