kuwait - Ukurasa 4

IQNA

Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu asubuhi mjini Tehran alionana na Sheikh Sabah al Ahmad al Jabir as Sabah, Amir wa Kuwait na ujumbe alioandamana nao na kusema kuwa, eneo la Ghuba ya Uajemi na usalama wake ni suala muhimu mno.
Habari ID: 1414303    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/03