iqna

IQNA

kuwait
Qur'ani Tukufu
IQNA - Toleo la 4 la Mashindano ya Familia ya Qur'ani lilianza nchini Kuwait siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478567    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Utamaduni
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur'ani la "Bait Al-Hamd" limezinduliwa nchini Kuwait kwa lengo la kukuza Qur'ani Tukufu na maarifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3478451    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Mwanaharakati wa Kuwait
IQNA - Mwanaharakati mmoja wa Kuwait alielezea hali ya sasa ya Palestina na vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendeshwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza kuwa ni fedheha kwa nchi zinazodai kuwa watetezi wa haki za binadamu.
Habari ID: 3478223    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20

Taazia
IQNA- Amiri wa Kuwait Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3478044    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

KUWAIT CITY (IQNA) - Waziri wa Wakfu na masuala ya Kiislamu wa Kuwait amesisitiza haja ya Waislamu kuwaunga mkono watu wa Palestina.
Habari ID: 3477866    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09

KUWAIT CITY (IQNA) – Duru ya 26 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu nchini Kuwait yalianza katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477849    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUWAIT CITY (IQNA) - Toleo la mwaka huu la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Kuwait litafanyika mwezi ujao.
Habari ID: 3477779    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUWAIT CITY (IQNA) - Kaimu Katibu Mkuu wa Sekretarieti Kuu ya Awqaf Hanan Ali alitangaza uzinduzi wa toleo la 26 la Mashindano ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu kwa Kuwait kwa mwaka wa 2023.
Habari ID: 3477452    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17

Siasa
Mrengo wa upinzani nchini Kuwait kwa mara nyingine tena umeshinda wingi wa viti vya Bunge nchini humo katika uchaguzi mkuu wa saba wa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi huku kukiwa na matumiani kuwa ushindi huo utafanikisha vita dhidi ya ufisadi nchini humo.
Habari ID: 3477118    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu kutoka Kuwait ambaye alikuwa katika jopo la majaji wa kitengo cha wanawake cha Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema mashindano hayo yanaweza kuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine ambazo huandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476619    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Huku mwezi mtukufu wa Ramadhani ukitazamiwa kuanza Machi 23, Wizara ya Wakfu ya Kuwait imeanza maandalizi yake ya awali ya kuupokea mwezi huu mtukufu, na kuandaa misikiti kwa ajili ya kupokea maelfu ya waumini kuswali sala ya Taraweh na sala nyingine za jamaa katika mwezi huu.
Habari ID: 3476561    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Misaada kwa jamii
TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi wa Taasisi ya Zakat al-Andalus inayohusiana na Jumuiya ya Hisani ya Al-Najat amesema jumuiya hiyo ya Kuwait imejenga misikiti 30 katika nchi tofauti za Kiislamu na Kiarabu mwaka jana.
Habari ID: 3476355    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04

Shughuli za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Misaada ya Al-Najat ya Kuwait imesema zaidi ya wanafunzi 4,600 wamefaidika na programu zake za elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476326    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29

Uislamu unavyoenea
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa Kuwait wanasema jumla ya watu 109 wamesilimu nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Habari ID: 3476270    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Kuwait yataandaliwa tena mwaka huu baada ya kusitishwa kwa muda wa miaka mitatu.
Habari ID: 3475624    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi wa shule katika nchi 52 hadi sasa wamenufaika kutokana na shughuli za jumuiya ya Qur’ani ya Kuwait ambayo inatoa misaada ya kimaisha na huduma za Qur’ani katika sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475546    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni maalumu ambayo inawasiadia Waislamu kuhitimisha Qur'ani Tukufu imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3475250    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tennis wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474865    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji maarufu wa tennis kutoka Kuwait amepongezwa kwa hatua yake ya kujiondoa katika shindano moja la kimataifa baada ya kubainika kuwa alitakuwa ashindane na raia wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474836    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA)- Spika wa Bunge la Kuwait amesema nchi hiyo itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika kutetea haki zake.
Habari ID: 3474786    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09