TEHRAN (IQNA)-Mwanamke Mwislamu muuguzi katika eneo la Staffordshire Uingereza amehujumiwa na gaidi mwenye chuki dhidi ya Uislamu aliyejaribu kumnyonga bila mafanikio.
Habari ID: 3471095 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/01
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu zaidi ya 100,000 wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr Jumapili katika bustani moja Uingereza na kuufanya mjumuiko huwa kuwa mkubwa zaidi wa sala ya Idi barani Ulaya.
Habari ID: 3471038 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/27
TEHRAN (IQNA)-Uingereza ni makaazi ya jamii anui ya Waislamu kutoka karibu pembe zote za dunia.
Habari ID: 3471001 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/30
TEHRAN (IQNA)-Mji wa Oxford nchini Uingereza utakuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la Qur'ani Tukufu baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3470912 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/29
Uchunguzi wa Maoni
IQNA: Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa Waislamu wengi Uingereza wanaamini kuwa serikali ya Marekani ndiyo iliyotekeleza hujuma za kigaidi nchini humo Septemba 11, 2001.
Habari ID: 3470715 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04
IQNA-Zaidi ya zaidi ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Habari ID: 3470690 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/22
Mwanamke Mwislamu aliyekamatwa Uingereza kwa kusoma kitabu kuhusu Syria ameazimia kuwasilisha kesi kulalamikia namna alivyo dhalilishwa na wahudumu wa ndege pamoja na askari wa kupambana na ugaidi.
Habari ID: 3470494 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04
Kongamano la Kimataifa kuhusu masomo ya Qur'ani Tukufu limemalizika katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3470463 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18
Waislamu nchini Uingereza wamebainisha hofu ya kuhusu kuteuliwa Bi.Theresa May kama Waziri Mkuu kutokana na sera zake haribifu kwa jamii ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470454 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/14
Wabunge Uingereza
Wabunge nchini Uingereza wameutaka utawala wa Saudia na nchi nyingine za Kiarabu zizuie matajiri wa nchi hizo kulifadhili kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470452 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13
Sala ya Idul Fitri imefutwa katika mji mwa Southampton Uingereza kufuatia ripoti kuwa makundi ya watu wenye misimamo mikali wenye chuki dhidi ya Waislamu wanapanga kuvuruga sala hiyo.
Habari ID: 3470428 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02
Mbunge wa chama cha upinzani cha Leba Uingereza, Bi. Jo Cox na ambaye alikuwa muungaji mkono Wapalestina amepigwa risasi na kuuawa.
Habari ID: 3470393 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/17
Sadiq Khan wa chama kikuu cha upinzani cha Leba nchini Uingereza amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa London na hivyo kuwa Meya wa kwanza Mwislamu kuuongoza mji huo mkuu.
Habari ID: 3470297 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/07
HRW
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Uingereza na Marekani zinashirikiana na Saudi Arabia kuten
Habari ID: 3470226 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02
Gazeti la Guardian
Waislamu nchini Uingereza wamepuza mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kupambana na ugaidi na wametangaza kuususia.
Habari ID: 3469676 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26
Serikali ya Uingereza iko katika hatari ya kushtakiwa kwa kuiuzia Saudi Arabia makombora yaliyotumika kuwashambulia raia wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3457990 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Harakati za makundi yanayowaunga mkono wananchi wa Palestina na kutetea haki za binadamu dhidi ya safari iliyopangwa kufanywa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na mazungumzo yake na viongozi wa Uingereza zimeshadidi na kushika kasi zaidi.
Habari ID: 3358320 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05
Idadi ya misikiti duniani inakadiriwa kuongezeka na kufika takribani milioni nne ifikapo mwaka 2019.
Habari ID: 3336897 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/29
Nakala ambayo yumkini ikawa miongoni mwa nakala za zamani zaidi za kitabu kitakatifu cha Qur’ani Tukufu imegundulwia nchini Uingereza.
Habari ID: 3332252 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22
Mtoto Mwislamu mwenye umri wa miaka miwili amepigwa risasi na kuumizwa vibaya kichwani katika mji wa Bradford nchini Uingereza.
Habari ID: 3304654 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18