iqna

IQNA

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waislamu nchini Uingereza wanataka waziri mkuu ajaye nchini humo akabiliane na chuki ya kimfumo dhidi ya Uislamu katika Chama cha Kihafidhina (Conservative).
Habari ID: 3475509    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi mpya umebaini kuwa, karibu asilimia 50 ya misikiti yote nchini Uingereza imekumbana na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475436    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Uingereza yamkini hawataweza kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu baada ya kusibiri kwa muda wa miaka wakati Hija ilikuwa marufuku kwa walio nje ya Saudia kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3475434    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27

TEHRAN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
Habari ID: 3475353    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Waislamu na siasa Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Akhtar Zaman amechaguliwa kama meya mpya wa mji wa Bolton nchini Uingereza, na kuwa Muislamu wa kwanza anayechukua nafasi hiyo.
Habari ID: 3475285    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)- Paundi milioni 24.5 zimetengwa kwa ajili ya usalama katika maeneo ya ibada na shule nchini Uingereza.
Habari ID: 3475273    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21

TEHRAN (IQNA)- Shule moja nchini Uingereza imewalisha wanafunzi Waislamu nyama ya nguruwe jambo ambalo limeibua hasira kali miongoni mwa wazazi.
Habari ID: 3475266    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, utawala haramu wa Israel na Uingereza ndio wahandisi wa kushambuliwa na kukaliwa kwa mabavu taifa la Yemen tokea mwaka 2015 hadi sasa.
Habari ID: 3475076    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa London wanasubiri kwa hamu tamasha la chakula na ununuzi linalotarajiwa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu - na takriban watu 20,000 watahudhuria.
Habari ID: 3475073    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA) – Huku Waislamu kote Uingereza wakihangaika kujikimu, Mfuko wa Kitaifa wa Zakat (NZF) umeripoti ongezeko la asilimia 90 la maombi ya mahitaji muhimu kama vile chakula na nguo ikilinganishwa na mwaka jana.
Habari ID: 3475042    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu ameuhujumiwa akiwa ndani ya treni mjini London ambapo Hijabu yake imevutwa na mtu anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474960    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/22

TEHRAN (IQNA)- Wanafuzni Waislamu katika Shule ya Upili ya Park High mtaa wa Stanmore nchini London wanasema mwalimu mmoja shuleni hapo amewanyima idhini ya kusali Sala ya Ijumaa katika uwanja wa shule.
Habari ID: 3474857    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Kadhia ya chuki dhidi ya Uislamu na kubaguliwa Waislamu katika nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza imeshika kasi katika miaka ya hivi karibuni. Chuki hizi dhidi ya Uislamu sasa zimefika hata katika ngazi rasmi za serikali.
Habari ID: 3474845    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha zamani cha polisi katika mji wa Cardiff eneo la Wales nchini Uingereza kitabadilishwa kuwa msikiti.
Habari ID: 3474840    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia mjini Glasgow, Scotland sasa ni kituo cha kuwadunga watu dozi ya tatu ya chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474736    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu Windsor wanatafakari kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Uingereza baada ya kunyimwa idhini ya kujenga msikiti katika mji wa Windsor.
Habari ID: 3474683    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16

TEHRAN (IQNA)- Kumezinduliwa mpango wa kujenga makaburi makubwa zaidi ya Waislamu barani Ulaya huko Uingereza katika eneo eneo la Blackburn, Lancashire.
Habari ID: 3474602    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26

TEHRAN (IQNA)- Katika kuendeleza siasa zake dhidi ya taifa la Palestina na kuunga mkono utawala haramu wa Israel, Uingereza imetuhumu na kuitangaza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Paletina Hamas kuwa ni kundi la kigaidi.
Habari ID: 3474590    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA)- Arsenal ambayo ni Timu maarufu ya Ligi Kuu ya Soka Uingereza (EPL) itamtimua mchezaji Muislamu Mohamed Elneny kutokana na misimamo yake ya kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3474586    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa ya kulaani uamuzi uliojaa chuki wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza wa kuiweka harakati hiyo katika orodha ya 'makundi ya kigaidi.'
Habari ID: 3474577    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19