iqna

IQNA

Wabunge 13 Waislamu wamechaguliwa katika uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uingereza na hivyo kuweka rekodi mpya iliyoongezeka kutoka wabunge 8 mwaka 2010.
Habari ID: 3276825    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Wanazuoni waandamizi wa Kishia na Kisunni nchini Uingereza wamefanya kikao cha pamoja na kujadili njia za kuimarisha umoja miongoni mwa Waislamu sambamba na kukabiliana na kampeni za kuibua fitina katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1449625    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/14

Takwimu mpya katika mji mkuu wa Norway, Oslo zinaoneysha kuwa, Mohammad, jina la Mtume Mtukufu wa Uislamu (SAW) ndio jina mashuhuri zaidi mjini humo.
Habari ID: 1444599    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/30

Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Uingereza yamepangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo yakiwashirikisha vijana wa Kiislamu.
Habari ID: 1439998    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/17

Demba Ba mchezaji wa Timu ya Soka ya Chelsea katika ligi ya Premier nchini nchini Uingereza amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika nchi yake asili, Senegal.
Habari ID: 1405411    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10