Chuki dhidi ya Uislamu
LONDON (IQNA) - Matukio ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza yameongezeka zaidi ya mara mbili katika muongo mmoja.
Habari ID: 3477312 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/20
Waislamu Uingereza
LONDON (IQNA) – Masjid E Saliheen, msikiti wa Blackburn, utaandaa siku ya tafrija na kufurahisha familia wikendi hii ili kusaidia kuchangisha fedha za kuboresha vifaa vya mazishi.
Habari ID: 3477301 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18
Njama za Mabeberu
TEHRAN (IQNA)- Katika hali ambayo, Saudi Arabia na Yemen zimepiga hatua muhimu kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Yemen, mashinikizo ya serikali ya Marekani kwa utawala wa Riyadh yamekuwa kikwazo na kizingiti kikuu cha kuhitimishwa vita hivyo.
Habari ID: 3476947 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/02
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Mamia walikusanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa kifahari wa Royal Albert Hall huko London kama sehemu ya futari ya wazi - tukio la kijamii wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476841 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/09
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Mzee wa miaka 73 alivamiwa na majambazi watatu alipokuwa akielekea nyumbani baada ya kuswali kwenye msikiti mmoja katika mji wa Birmingham nchini Uingereza.
Habari ID: 3476790 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31
Kususia utawala bandia wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya vipeperushi 20,000 vinavyowahimiza Waislamu kutizama lebo yaani #CheckTheLabel na kususia bidhaa za utawala haramu wa Israel vimesambazwa katika misikiti kote Uingereza, sanjari na Ijumaa ya mwisho kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, waandaaji walisema Ijumaa.
Habari ID: 3476724 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Klabu ya Soka ya Chelsea ya Ligu Kuu ya Uingereza (EPL) imetangaza kuwa uwanja wake, Stamford Bridge, utakuwa mwenyeji dhifa yake ya kwanza ya wazi ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476705 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Tukio la kuchangisha fedha kusaidia kujenga msikiti mpya wa Blackburn nchini Uingereza limefanikiwa sana baada ya wafadhili kuahidi kwa ukarimu £126,000 kusaidia mradi huo.
Habari ID: 3476687 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Waislamu kadhaa wa Uingereza wamewashutumu polisi wa nchi hiyo kwa kuwatendea vibaya kama "magaidi" wakati walipokamatwa kwa tuhuma za chuki dhidi ya Wayahudi ambazo baadaye zilitupiliwa mbali.
Habari ID: 3476220 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi kutoka shule ya Darwen walitembelea Msikiti wa Madina mjini Blackburn Uingereza ili kujua zaidi kuhusu Uislamu na maisha ya kila siku ya Waislamu.
Habari ID: 3476183 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02
Palestina
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem), huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Israel
Habari ID: 3476131 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa uhamiaji wa Uingereza wameongeza upekuzi katika vituo vya kidini, hasa misikitini, katika jitihada za kukabiliana na uhamiaji haramu.
Habari ID: 3476045 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/06
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Kulingana na maafisa wa Msikiti wa Cambridge nchini Uingereza watu 86 wametamka shahada mbili (au tamko la imani ya Kiislamu) katika kituo hicho tangu Januari.
Habari ID: 3476033 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04
Hali ya Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) - Kundi la kutetea haki za Uingereza limeonya kuhusu mkakati tata wa serikali ya nchi hiyo wa kupambana na kile kinachodaiwa kuwa ni 'ugaidi' na kusema mkakati huo umesababisha ukusanyaji haramu wa data za kibinafsi.
Habari ID: 3476004 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) –Pauni za Uingereza 24,000 zilikusanywa kwa ajili ya ujenzi wa moja ya misikiti mikongwe zaidi huko Blackburn nchini Uingereza.
Habari ID: 3475903 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09
Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
Habari ID: 3475864 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01
Kadhia ya al-Quds
TEHRAN (IQNA) - Wajumbe wote wa nchi za Kiarabu nchini Uingereza wameripotiwa kutoa wito kwa nchi hiyo kutohamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Al-Qud (Jerusalem) .
Habari ID: 3475863 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/01
Kadhia ya Quds
TEHRAN(IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameashiria mpango wa Uingereza wa kuuhamisha ubalozi ulioko Tel Aviv hadi Quds Tukufu(Jerusalem) na kueleza kuwa: hatua hiyo haibadili kivyovyote uhakika wa kihistoria.
Habari ID: 3475835 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi moja ya utafiti, Waislamu wa Uingereza wamepunguziwa hadhi ya uraia wao hadi hadhi ya "daraja la pili" kutokana na mamlaka iliyoongezwa hivi karibuni ya kuwavua watu utaifa au uraia wao.
Habari ID: 3475771 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12
Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke mmoja huko Plymouth, kusini magharibi mwa Uingereza, alikubali Uislamu baada ya kusoma Qur’ani Tukufu mara nne katika muda wa mwezi mmoja.
Habari ID: 3475726 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03