TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Uingereza imetakiwa itambue rasmi uwepo wa tatizo la chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia ili ikabiliane na tatizo hilo.
Habari ID: 3473786 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Uingereza wanatoa msaada kwa mamia ya watu ambao wamekumbwa na matatizo ya kumudu mahitaji ya kimaisha katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona nchini humo.
Habari ID: 3473557 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/14
TEHRAN (IQNA) – Wanachama Waislamu katika chama cha Leba cha Uingereza wamesema wameshuhudia chuki dhidi ya Uislamu katika chama hicho kikubwa zaidi Uingereza.
Habari ID: 3473362 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/15
TEHRAN (IQNA) – Polisi nchini Uingereza wanafanya uchunguzi baada ya msikiti kuhujumiwa nchini Uingereza katika mji wa Norwich.
Habari ID: 3473004 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema nchi yake inapinga hatu aya utawala wa Kizayuni wa Israel kuteka eneo zaidi la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472919 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01
TEHRAN (IQNA) – Nakala nadra ya kale ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa Iran katika karatasi ya Kichina imeuzwa kwa pauni za Uingereza milioni saba katika mnada mjini London
Habari ID: 3472904 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/27
TEHRAN (IQNA)- Mpango wa kila mwaka wa kuwaalika wasiokuwa Waislamu kutembelea misikiti nchini Uingereza mwaka huu umefutwa kutokana na kuibuka ugonjwa wa COVID-19 lakini pamoja na hayo kumezinduliwa mpango wa kutembelea misikiti kupitia intaneti.
Habari ID: 3472877 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18
TEHRAN (IQNA)- Jaji wa kwanza Muislamu mwenye kuvaa Hijabu ameteuliwa katika mfumo wa mahakama nchini Uingereza.
Habari ID: 3472794 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/23
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya Waislamu wamefariki kutokana na ugonjwa wa corona nchini Uingereza na hilo linabainika wazi katika makaburi ya Waislamu.
Habari ID: 3472658 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/12
TEHRAN (IQNA) – Makundi ya wabaguzi wenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia yanatumia janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona kueneza chuki dhidi ya Waislamu nchini Uingereza.
Habari ID: 3472640 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/06
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameambukizwa ugonjwa hatari wa COVID-19 au corona unaoenea kwa kasi kubwa dunia nzima.
Habari ID: 3472607 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/27
TEHRAN (IQNA)- Bunge la Uingereza, House of Commons, litaanza kuuza chakula Halali, ambacho kimetayarishwa kwa misingi ya mafundisho ya Kiislam, kuanzia Machi 30 kufuatia ombi la wabunge Waislamu.
Habari ID: 3472568 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA) – Hatua ya kujiuzulu Sajid Javid, waziri Muislamu wa ngazi za juu zaidi katika chama tawala cha Kihafihdhina (Conservative) cha Uingereza imepelekea chama hicho kutuhumiwa kuwa kinachochea hisia za chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) .
Habari ID: 3472476 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/16
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Shura (Mashauriano) la Jumuiya ya Waislamu Uingereza limemchagua Bi. Raghad Al Tikriti kuwa mwenyekiti wake mpya.
Habari ID: 3472398 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/23
TEHRAN (IQNA) – Magazeti nchini Uingereza vimekuwa vikiwasilisha taswira mbaya na potovu kuhusu Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3472317 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/30
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwa mustakabali wa uchumi wa Uingereza haujulikani kutokana na uamuzi wa nchi hiyo kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, lakini biashara ya chakula halali nchini humo inazidi kuimarika kutokana kuongezeka matumizi miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3472299 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya Waislamu wa Uingereza wameanza kujitayarisha kuondoka nchini humo wakihofia usalama wao baada ya uchaguzi ambao unamuandalia njia Boris Johnson kuendelea kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kwa muda miaka mitano.
Habari ID: 3472282 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/16
TEHRAN (IQNA) –Binti Muislamu mwenye kuvaa Hijabu, Khadijah Mellah, ametangazwa kuwa Mwanamichezo Bora Msichana wa mwaka nchini Uingereza kufuatia ushindi wake katika mashindano ya mbio za farasi ya Kombe la Magnolia.
Habari ID: 3472228 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/24
TEHRAN (IQNA) – Imamu wa Msikiti wa Chesham huko Buckinghamshire nchini Uingereza, Sheikh Arif Hassan amezitunuku maktaba za eneo hilo nakala 20 za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiingereza.
Habari ID: 3472165 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10
TEHRAN (IQNA)- Mzungu mbaguzi mwenye kufuatia itikadi ya wale wanaoamini wazungu ndio wanadamu bora zaidi duniani, amefungwa jela miaka 12 nchini Uingereza baada ya kupatikana na hatia ya kuchochea mauaji ya Waislamu.
Habari ID: 3472114 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/04