Tehran (IQNA) - Waandalizi wa ‘Siku ya Hijabu Duniani’ wanatazamia Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanatazamiwa kushiriki katika maadhimisho ya siku hiyo Februari 1 mwaka huu wa 2015.
Habari ID: 2790522 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ege kilichoko katika mji wa Izmir nchini Uturuki amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela, baada ya kumzuia mwanafunzi aliyevaa hijabu ya Kiislamu kuingia darasani.
Habari ID: 2613249 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/30
Jaji wa Mahakama Kuu ya mji wa Lagos nchini Nigeria ametetea na kuungamkono marufuku iliyokuwa imetangazwa kwa vazi la hijabu ya Kiislamu kwa shule za serikali katika mji huo.
Habari ID: 1461427 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/19
Mahakama moja ya Kenya imetoa uamuzi wa kupiga marufuku vazi la Hijabu katika shule moja nchini humo jambo ambalo limewakasirisha sana Waislamu wakiwemo wazazi na wanazuoni wa Kiislamu ambao wameitaja hukumu hiyo kuwa ni hatua nyuma katika uhuru wa kuabudu nchini humo.
Habari ID: 1455483 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/29
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limetangaza mpango wa kuangalia upya sheria inayopiga marufuku vazi la hijabu katika michezo ya kimataifa.
Habari ID: 1455017 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/28