iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Afrika Kusini limefanyia marekebisho kanuni zake za uvaaji na sasa limewaruhusu askari wanawake wa Kiislamu nchini humo kuvalia vazi la stara la hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3473600    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29

TEHRAN (IQNA) - Bunge la Ufilipino mnamo Januari 26, 2021, limepiga kura ya kuidhinisha Februari 1 kila mwaka kuwa ‘Siku ya Kitaifa ya Hijabu’.
Habari ID: 3473594    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/27

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mmoja nchini Marekani wanaendeleza kampeni ya kuelimisha umma kuhusu vazi la Kiislamu la Hijabu na faida zake.
Habari ID: 3473529    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06

TEHRAN (IQNA) – Mahakama nchini Sweden imeondoa marufuku ya vazi la Kiislamu la Hijabu katika shule za mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo ya bara Ulaya.
Habari ID: 3473371    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18

TEHRAN (IQNA) – Wanawake wawili ambao waliwashambuliwa wanawake wengine Waislamu waliokuwa wamevaa Hijabu mjini Paris, wamefikishwa kizimbani.
Habari ID: 3473289    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/23

TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu nchini Uganda wamemuandikia barua spika wa bunge la nchi hiyo, Bi Rebecca Kadaga wakitaka mabadiliko katika sharia ili kuwaruhusia wanawake Waislamu wavae Hijabu wakati wanapopigwa picha za vitambulisho.
Habari ID: 3473282    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ufaransa wameudhika kwa kauli za chuki dhidi ya Uislamu zilizotolewa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron.
Habari ID: 3473226    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03

TEHRAN (IQNA) – Binti Muislamu mwanafunzi wa shule ya upili amepigwa marufuku kucheza mechi ya voliboli baada ya refa kudai kuwa vazi lake la Hijabu linakiuka sheria.
Habari ID: 3473183    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/19

TEHRAN (IQNA) - Mwanamke Muislamu nchini Marekani amewasilisha kesi mahakamani na kusema haki zake za kiraia na kidini zilikiukwa pale maafisa wa Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) walipomvua Hijabu (mtandio) wakati akihudhuria mkutano wa Tume ya Polisi mwaka jana.
Habari ID: 3473180    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18

TEHRAN (IQNA)- Jaji wa kwanza Muislamu mwenye kuvaa Hijabu ameteuliwa katika mfumo wa mahakama nchini Uingereza.
Habari ID: 3472794    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/23

TEHRAN (IQNA) –Binti Muislamu mwenye kuvaa Hijabu, Khadijah Mellah, ametangazwa kuwa Mwanamichezo Bora Msichana wa mwaka nchini Uingereza kufuatia ushindi wake katika mashindano ya mbio za farasi ya Kombe la Magnolia.
Habari ID: 3472228    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/24

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kimataifa cha Fatwa katika Chuo cha Al Azhar nchini Misri kimetoa taarifa na kusema vazi la Hijabi ni faradhi kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3472227    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/23

TEHRAN (IQNA) – Msichana Muislamu nchini Marekani ameondolewa kwenye mashindano ya mbio za nyika kwa sababu ya kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3472188    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/26

TEHRAN (IQNA) – Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameendelea sera zake za chuki dhidi ya Uislamu kwa kusema anapinga vazi la staha la Hijabu la wanawake Waislamu kuvaliwa katika idara au taasisi za kiserikali zinazotoa huduma kwa umma.
Habari ID: 3472186    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/25

TEHRAN (IQNA) – Waalimu wametimuliwa katika shule moja huko Montreal, Canada baada ya kusistiza kuendelea kuva vazi la staha la Kiislamu, Hijab.
Habari ID: 3472127    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/12

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Polisi nchini Ireland imeamua kuwaruhusi maafisa wa polisi kike ambao ni Waislamu kuvaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471900    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/06

TEHRAN (IQNA)- Siku ya Kimataifa ya Hijabu imeadhimishwa Ijumaa katika mji wa Lamu nchini Kenya huku washiriki wakitoa wito wa kuondolewa marufuku ya Hijabu shuleni nchini humo.
Habari ID: 3471828    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/03

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamelaani vikali uamuzi wa Mahakama ya Kilele kuidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule nchini humo huku baadhi ya viongozi wakiwataka wasichana Waislamu wapuuze uamuzi huo.
Habari ID: 3471823    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/28

TEHRAN (IQNA)- Bi. Linde McAvoy, alisilimu na kuukumbatia Uislamu maishani wiki chache baada ya kujiunga na Chuo cha Georgia Career Institute Conyers (GCI) katika jimbo la Georgia nchini Marekani mwezi Disemba 2017.
Habari ID: 3471771    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15

Halima Aden ni mwanamke Mwislamu Msomali-Mmaarekani ambaye huvaa Hijabu na mwezi Julai mwaka huu aliteuliwa kuwa balozi wa UNICEF. Aidha anahusika na kampeni ya matangazo ya Shirika la UNICEF.
Habari ID: 3471766    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/10