Chuki dhidi ya Uislamu
PARIS (IQNA) - Mwanafikra wa Morocco amekosoa uamuzi wa Ufaransa wa kuwakataza wanariadha wake kuvaa hijabu ambayo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu, wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024, akisema inafichua upofu na msimamo mkali wa mawazo ya kisiasa ya Ufaransa.
Habari ID: 3477696 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07
Waislamu Ufaransa
PARIS (IQNA) - Mwanafunzi wa Kiislamu wa Ufaransa, aliyekataliwa hivi majuzi kuingia shuleni kwake huko Lyon kwa kuvaa vazi la Kijapani la Kimono, amepeleka kesi yake kwenye Umoja wa Mataifa (UN), akisema amebaguliwa kwa misingi ya imani yake ya kidini.
Habari ID: 3477639 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23
Afisa wa HIzbullah
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa vuguvugu la muqawama la HIzbullah la Lebanon alisema Hijab inawapa wanawake wa Kiislamu utambulisho na mamlaka.
Habari ID: 3477092 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03
Haki za Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mamia ya wanafunzi wa kike wa Kiislamu wamezishtaki shule kadhaa nchini Gambia, wakizituhumu kwa kupiga marufuku vazi lao la Hijabu.
Habari ID: 3476987 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11
Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja lisilo la kiserikali imeripoti kuwa, wanawake Waislamu wanaovaa vazi la staha la Hijabu nchini Austria wanakabiliwa ubaguzi na mashambulio ya wenye chuki dhidi ya Uislamu ikilinganishwa katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 3476783 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/30
Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA) –Mhadhiri wa chuo kikuu kutoka Misri anasema mafanikio ya wanawake wa Kiislamu katika nyanja tofauti yanasambaratisha "simulizi potofu" na "fikra potofu" kuhusu Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3476680 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Waislamu Denmark
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Denmark inasema haitaunga mkono hoja inayotaka kupiga marufuku wanafunzi na wafanyakazi kuvaa hijabu katika shule za msingi.
Habari ID: 3476651 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi Waislamu wa kike nchini India Jumatano wamewasilisha ombi katika Mahakama ya Juu ya India wakitaka waruhusiwe kufanya mitihani ya kila mwaka ya vyuo vya Karnataka wakiwa wamevalia vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3476614 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/23
Hijabu
TEHRAN (IQNA)- Muungano wa Wanawake wa Kiislamu wa Nigeria umetoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo na ubaguzi dhidi ya utumiaji wa Hijabu na watumiaji wa Hijabu kitaifa na kimataifa.
Habari ID: 3476511 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/04
Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Ulinzi nchini Kenya, Aden Duale Jumanne ameunga mkono vazi la Hijabu ambapo amewataka wanokerwa na wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi hilo la stara nchini Kenya watafute nchi nyingine ya kuishi.
Habari ID: 3476284 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Ripoti zinaonyesha kuongezeka kwa uuzaji wa nguo za Kiislamu nchini India huku kukiwa na marufuku ya hijabu ya Kiislamu kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3476179 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01
Uislamu nchini Ufilipino
TEHRAN (IQNA) – Bunge nchini Ufilipino limepitishwa sheria ya kuitangaza Februari 1 kila mwaka kuwa Siku ya Kitaifa ya Hijabu ili kuongeza ufahamu wa desturi za Waislamu.
Habari ID: 3476101 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN(IQNA0- Wanaharakati katika mitandao ya kijamii ya Ufaransa wamekemea vikali shambulio lililofanywa dhidi ya mwanafunzi wa Kiislamu aliyekuwa na vazi la staha la hijabu katika shule ya sekondari baada ya nakala ya Qur'ani Tukufu aliyokuwa nayo kuraruliwa na kisha akavuliwa vazii lake la Hijabu.
Habari ID: 3475944 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya juu ya Umoja wa Ulaya (EU) imetoa uamuzi wa kuzuiwa kwa wanawake wenye hijabu kuingia katika maeneo ya kazi, ikidai kuwa marufuku hiyo haimaanishi ubaguzi.
Habari ID: 3475933 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15
Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Ufaransa ilimbagua mwanamke Mwislamu ambaye alizuiwa kuhudhuria mafunzo ya ufundi stadi katika shule ya umma akiwa amevalia hijabu yake, kamati ya Umoja wa Mataifa iliamua.
Habari ID: 3475578 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu jambo ambalo limewakasirisha maadui.
Habari ID: 3475555 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Mwanamke mwenye hadhi na kipaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa pigo kubwa na muhimu zaidi kwa madai na uongo ya ustaarabu wa Magharibi, na suala hilo limewakasirisha mno Wamagharibi.
Habari ID: 3475550 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/28
Hijabu katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Fatima Payman, ambaye amechaguliwa kuwa mwanamke wa kwanza wa Muislamu aliyevalia hijabu katika Bunge la Seneti nchini Australia, anasema anataka kuhakikisha kuwa uvaaji
Habari ID: 3475422 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25
Vazi la Hijabu ni haki
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wamepongeza hukumu ya mahakama ya kilele ambayo imesema wanafunzi wa kike Waislamu wana haki ya kuvaa vazi la staha la Hijabu katika shule za serikali mjini Lagos.
Habari ID: 3475403 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mgahawa huko Ufaransa haukumruhusu mwanamke Muislamu aliyevaa Hijabu kwa sababu ya vazi lake hilo la Kiislamu.
Habari ID: 3475331 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03