TEHRAN (IQNA) – Waalimu wametimuliwa katika shule moja huko Montreal, Canada baada ya kusistiza kuendelea kuva vazi la staha la Kiislamu, Hijab.
Habari ID: 3472127 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/12
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Polisi nchini Ireland imeamua kuwaruhusi maafisa wa polisi kike ambao ni Waislamu kuvaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471900 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/06
TEHRAN (IQNA)- Siku ya Kimataifa ya Hijabu imeadhimishwa Ijumaa katika mji wa Lamu nchini Kenya huku washiriki wakitoa wito wa kuondolewa marufuku ya Hijabu shuleni nchini humo.
Habari ID: 3471828 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/03
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamelaani vikali uamuzi wa Mahakama ya Kilele kuidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule nchini humo huku baadhi ya viongozi wakiwataka wasichana Waislamu wapuuze uamuzi huo.
Habari ID: 3471823 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/28
TEHRAN (IQNA)- Bi. Linde McAvoy, alisilimu na kuukumbatia Uislamu maishani wiki chache baada ya kujiunga na Chuo cha Georgia Career Institute Conyers (GCI) katika jimbo la Georgia nchini Marekani mwezi Disemba 2017.
Habari ID: 3471771 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15
Halima Aden ni mwanamke Mwislamu Msomali-Mmaarekani ambaye huvaa Hijabu na mwezi Julai mwaka huu aliteuliwa kuwa balozi wa UNICEF. Aidha anahusika na kampeni ya matangazo ya Shirika la UNICEF.
Habari ID: 3471766 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/10
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wanamichezo wa kike Wairani ambao wanashiriki katika michezo ya kimataifa wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471741 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/14
TEHRAN (IQNA) - Mahakama Kuu ya Trinidad na Tobago imetoa hukumu ya kuwaruhusu kuvaa Hijabu maafisa wa polisi wa kike ambao ni Waislamu.
Habari ID: 3471738 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/11
TEHRAN (IQNA)- Takwimu zinaonesha kuwa, asilimia 76 ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Ubelgiji mwaka 2017 vilihusu kushambuliwa wanawke Waislamu wanaovaa Hijabu.
Habari ID: 3471665 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/10
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni nchini Uingereza kumeanza kuuzwa wanaserere waliovishwa Hijabu maarufu kama "Salam Sisters" au "Madada wa Salam" ambao ni nembo ya mwanamke Muislamu anayeweza kuigwa.
Habari ID: 3471564 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/18
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Leba mjini Berlin, Ujerumani imesema baraza la mji lina haki ya kumzuia mwalimu Mwislamu kuvaa Hijabu na hivyo kutupilia mbali malalamiko yake ya kubaguliwa.
Habari ID: 3471505 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/11
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Jimbo la Texas nchini Marekani imetangaza zawadi ya $5000 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa mtu ambaye alimdunga kisu mwanamke Mwislamu katika mji wa Houston.
Habari ID: 3471457 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/07
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471397 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/19
TEHRAN-(IQNA)-Kundi la Kiislamu la GainPeace lenye makao yake katika mji wa Chicago nchini Marekani limezindua kampeni ya mabango yenye kuunga mkono hijabu kama vazi lenye kumpa uwezo mwanamke.
Habari ID: 3471395 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/17
TEHRAN (IQNA)-Nchini Canada, binti Muslamu mwenye umri wa miaka 11 ameshambuliwa na Hijabu yake kuraruliwa wakati akiwa njiani kuelekea shuleni katika tukio la hujuma ya chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471352 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/13
TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Waislamu Kenya , Supkem, limetoa wito kwa serikali kuchukua hatua za kuzuia kusumbuliwa wasichana Waislamu wanaovaa Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3471334 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/31
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Austria wamekosoa matamshi dhid iya vazi la Hijabu ambayo yametamkwa na waziri mpya wa elimu Heinz Fassmann.
Habari ID: 3471332 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/30
TEHRAN (IQNA) Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Nigeria amekosoa namna wanawake Waislamu wanaovaa Hijabu nchini humo wanavyosumbuliwa.
Habari ID: 3471315 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/18
TEHRAN (IQNA)-Shirika la mavazi ya michezo la Nike limeanza kuuza 'Hijabu ya Wanamichezo' ambayo ni maalumu kwa wanamichezo wa kike Waislamu wanaotaka kujisitiri.
Habari ID: 3471305 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/11
TEHRAN (IQNA)-Mwalimu mmoja wa kiume katika jimbo la Virginia Marekani ameadhibiwa kwa likizo ya lazima baada ya kupatikana na hatia ya kuivua Hijabu ya mwanafunzi wake Mwislamu.
Habari ID: 3471269 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18