iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Mwanamke Mwislamu muuguzi katika eneo la Staffordshire Uingereza amehujumiwa na gaidi mwenye chuki dhidi ya Uislamu aliyejaribu kumnyonga bila mafanikio.
Habari ID: 3471095    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/01

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia wanawalenga zaidi wanawake wenye kuvaa Hijabu, ripoti mpya imebaini.
Habari ID: 3471059    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10

TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Mpira wa Kikapu (basketiboli) Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake Waislamu wenye Hijabu kushiriki katika michezo ya kimataifa ya basketiboli).
Habari ID: 3470970    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/06

TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23

IQNA-Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya imekosolewa vikali na Waislamu kwa kutoa hukumu kuwa waajiri barani humo wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
Habari ID: 3470897    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16

IQNA: Kwa mara ya kwanza katika historia ya mbio maarufu za marathon za Boston, Marekani, mwanamke Mwislamu atashiriki akiwa amevaa Hijabu.
Habari ID: 3470891    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13

IQNA: Shirika la bidhaa za micehzo la Nike limechukua hatua ya kuingia katika sekta yenye faida ya mavazi ya wanawake Waislamu kwa kuzindua Hijabu maalumu ya kuvaliwa na wanamichezo.
Habari ID: 3470886    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/09

IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya Hijabu yamefanyika mjini London na kuwavutia mamia ya wanawake waliokuwa wakitafuta mitindo bora yenye kuzingatia misingi ya Kiislamu.
Habari ID: 3470858    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19

IQNA: Mahakama ya Rufaa katika jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa hujumu ya kupinga amri ya serikali ya jimbo hilo kupiga marufuku vazi la Hijabu kuvaliwa na washichana Waislamu shuleni.
Habari ID: 3470840    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/08

Mwanamke Mwislamu mkaazi wa Uhispania
IQNA: Bi. Bushra Ibrahimi ni Mwislamu mkaazi wa Uhispania ambaye anasema Waislamu katika nchi hiyo ya Ulaya wanakumbwa na masaibu mengi.
Habari ID: 3470836    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/06

IQNA-Siku ya Hijabu ya Waridi imefanyika Jumamosi katika mji wa Dar es Salaam, Tanzania kwa lengo la kuhimiza uvaaji vazi hilo la staha la mwanamke Mwislamu.
Habari ID: 3470834    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/05

IQNA-Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunIka uso wote, maarufu kama niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
Habari ID: 3470825    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31

IQNA- Wafanyakazi wote wa umma Austira, wakiwemo walimu, watapigwa marufuku kuvaa Hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3470786    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/08

IQNA- Mwanamke Mwislamu amekataa kumpa mkono Rais wa Ujerumani lakini Waziri wa Ulinzi wa Saudia amempa mkono mwanamke ambaye ni waziri wa ulinzi wa Ujerumani.
Habari ID: 3470751    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/20

IQNA-Mwandishi habari wa kike huko Toronto amekuwa wa kwanza kusoma habari akiwa amevaa vazi la Kiislamu la Hijabu.
Habari ID: 3470699    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/26

IQNA- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limebainisha masikitiko yake baada ya bondia wa kike Mwislamu kupigwa marufuku Marekani kwa ajili ya vazi lake la Kiislamu la Hijabu.
Habari ID: 3470693    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/23

IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya kike ya Kiislamu yamepangwa kufanyika tarehe 22-23 Novemba katika mji wa Tokyo, nchini Japan.
Habari ID: 3470675    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

Mwanamke Mwislamu amehujumiwa na kuvuliwa Hijabu katika hujuma ya kibaguzi iliyojiri mjini London.
Habari ID: 3470607    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/10

Katika kitendo kingine cha chuki dhidi ya Waislamu, mwanamke aliyekuwa amevaa Hijabu ameshambuliwa na kuchomwa moto mjini New York, Marekani.
Habari ID: 3470562    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/14