Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki Sheikh Mohammad Gormez amesema kuwa hivi sasa misikiti 80 inajenga katika zaidi ya vyuo vikuu 80 nchini humo.
Ameongeza kuwa ifikapo mwaka 2015 vyuo vikuu 50 vitakuwa na misikiti iliyopkamilika kujengwa.
‘Tunalipa umuhimu mkubwa suala la misikiti katika vyuo vikuu’, amesema afisa huyo wa Uturuki na kuongeza kuwa, ujenzi wa misikiti utafufua umaanawi na ucha Mngu vyuoni na katika jamii kwa ujumla.../mh
1475648