Jamii ya Kiislamu
IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Tunisia imetangaza kuwa idadi ya misikiti nchini humo sasa imevuka 5,000, ikithibitisha nafasi ya kipekee ya nchi hiyo katika historia ya Uislamu.
Habari ID: 3480507 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
IQNA – Nchini Misri, Wizara ya Wakfu imeanzisha kampeni ya kitaifa ya kusafisha na kuandaa misikiti kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480259 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23
IQNA – Saudi Arabia imeanzisha kanuni mpya zinazozuia matumizi ya kamera katika misikiti hasa kupiga picha maimamu na waumini wakati wa Sala katika mwezi ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3480252 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/22
IQNA – Kampeni ya kusafisha misikiti kujiandaa kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanzishwa Yemen.
Habari ID: 3480204 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12
Jinai za Israel
IQNA-Katika mwaka uliomalizika wa 2024, wanajeshi wa utawala wa Kiziayuni wa Israel walibomoa kikamilifu Misikiti 815 na kuharibu mingine 151 katika Ukanda wa Ghaza. Hayo yameelezwa katika ripoti iliyotolewa na Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini ya Palestina.
Habari ID: 3480011 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/06
IQNA - Misikiti mia moja imepangwa kujengwa kuchukua nafasi ya misikiti mikongwe katika mji wa Sharjah, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3479422 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/12
Misikiti Nchini Ufaransa
Msikiti Mkuu wa Paris, alama ya umuhimu wa kitamaduni na kidini nchini Ufaransa, utakuwa sehemu ya sherehe za Olimpiki za 2024 mwaka huu huku ukikaribisha mwali wa Olimpiki mnamo Julai 14 saa 3 asubuhi.
Habari ID: 3479102 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/10
Msikiti mmoja huko Durban Kaskazini, Afrika Kusini, umeimarisha hatua za usalama baada ya vilipuzi viwili vya kutengenezea kienyeji kupatikana kwenye majengo hayo.
Habari ID: 3479100 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/10
Jinai za Israel
IQNA - Jumla ya misikiti 604 imeharibiwa kabisa katika Ukanda wa Gaza hadi sasa kutokana na mashambulizi ya utawala wa Israel katika maeneo ya makazi na yasiyo ya kijeshi.
Habari ID: 3478843 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
Ramadhani Palestina
IQNA - Waislamu wa Palestina huko Gaza wamebakia imara katika Imani na hivyo wana azma ya kutekeleza ibada zote za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kukusanyika katika mabaki ya misikiti iliyoharibiwa na mabomu ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3478485 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Misikiti nchini Misri inatayarishwa kuwakaribisha waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478436 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01
Jinai za Israel
IQNA - Zaidi ya maeneo 200 ya kiakiolojia na ya kale katika Ukanda wa Gaza yameharibiwa na uvamizi wa kijeshi wa Israel tangu Oktoba 7, kulingana na mamlaka huko Gaza.
Habari ID: 3478117 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31
Uislamu Russia
IQNA - Kumekuwa na ongezeko la rekodi la idadi ya misikiti nchini Russia (Urusi) katika miongo ya hivi karibuni, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478034 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14
Jinai za Israel
GAZA (IQNA) - Msikiti wa kihistoria wa Othman bin Qashqar, ulioko katika Jiji la Kale la Gaza ulilipuliwa kwa mabomu yaliyodondoshwa na ndege za kivita za utawala haramu Israel siku ya Alhamisi, na kusababisha Wapalestina kadhaa kuuawa shahidi na uharibifu wa nyumba zilizo karibu, shirika rasmi la habari la Palestina WAFA liliripoti.
Habari ID: 3478005 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08
Wamisri wakaribisha mpango wa Qur'ani wa Wizara ya Wakfu
TEHRAN (IQNA) - Mpango uliozinduliwa katika misikiti ya Misri kwa ajili ya kurekebisha makosa yanayofanywa na watu wakati wa kusoma Qur'ani Tukufu umepokelewa vyema, maafisa wanasema.
Habari ID: 3477994 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Msikiti wa Jamia wa Omari, ambao ni moja ya misikiti mikongwe zaidi katika Jiji la Kale la Gaza, uliripotiwa kulengwa katika mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3477910 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Takriban watu 50 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa wakati ndege za kivita za utawala wa Israel zilipodondosha mabomu katika msikiti mmoja katika mtaa wa Sabra katikati mwa Ukanda wa Gaza huku utawala huo ukiendeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo.
Habari ID: 3477900 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/16
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umeshambulia na kuharibu kabisa kwa mabomu misikiti 56 tokea unazish vita vya maangamizi ya umati dhidi ya Ukanda wa Gaza. Aidha misikiti mingine zaidi ya 192 imepata hasara kwa kuharibiwa katika mashambulizi hayo ya kinyama.
Habari ID: 3477855 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/07
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Idadi ya misikiti iliyoharibiwa kabisa katika mashambulizi yanayoendelea ya utawala haramu wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza imefikia 52.
Habari ID: 3477827 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02
Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Nishati nchini Tunisia lilitangaza kutekelezwa kwa mpango wa kupunguza matumizi ya nishati katika misikiti nchini humu.
Habari ID: 3477105 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05