IQNA

Kongamano la kimataifa la Haki za Binadamu na Sheria za Kiislamu nchini Algeria

11:45 - February 23, 2009
Habari ID: 1747759
Kongamno la "Haki za Kimataifa, Haki za Binadamu na Sheria za Kiislamu" limeanza nchini Algeria likisimamiwa na chumba cha biashara cha nchi hiyo.
Kongamano hilo linajadili sheria za kimataifa, misingi ya haki za binadamu na uhusiano wake na sheria za Kiislamu.
Kongamano hilo linahudhuriwa na wataalamu wa sheria za kimataifa. 367829
captcha